Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeteseka sana kuachwa na wachumba na kusihia kuvalisha pete pokea habari njema juuyako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 1, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 25,111
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Nimepewa mamlka halali ya mbinguni na duniani leo nasema leo kuanzia usiku huuu nakutangazia utakae mpata atkuwa mume wako ama mke wako wa milele kumbuka mungu ni mungu mweza yote natangaza uhuru wako siitaji kujua nani alikuchezea alikuharibia maisha nasema leoo nk imetosha aijalishi uligfanya nini nasema tena kuanzia leo
  mungu anakwenda kukupa mume /mke bora
  nakutakia kupokea kwa imani in jesus name
  ubarikiwe natumaini hutonisahau kwenye kadi zisizo na michango yaani mualiko wa harusi
  wako mwaanandoa
  pdidy merriage centre
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 60,532
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  naona una matatizo mawili makubwa:-

  a) Unachukulia sote tumeteseka jambo si kweli hata chembe.............................

  b) Hujui ya kuwa kupendwa na Muumba pia kuna maana kukuepusha na karaha za mtarajiwa ambaye Muumba anajua siku za usoni atakuletea tafurani tupu...................................

  c) labda niishie hapo kwa sasa..........................
   
 3. c

  christmas JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,479
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  jaman aaaaameeeeen
   
 4. M

  MORIA JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 521
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Amina kubwa
  <br />
  <br />
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 25,992
  Likes Received: 3,255
  Trophy Points: 280
  Pepo la ngurumo likutoke
   
 6. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  duuu kazi kwelikweli kweli watu mnaota ndoto mbaya
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,628
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  kwani ndoa ndo furaha na matamanio ya kila mtu?
   
Loading...