Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!!

Sasa waswahili na sie tuwawahi wachina jamani. Tufanye analysis ya content ya mkojo wa asubuhi bila sex usiku, then tutengenezee vidonge. Manake wengine kukinga mkojo na kuunywa ukiwa moto moto ni mtihani wa NECTA
 
Hivi lazima uwe wa kwako? Kama sio lazima wa kwako nimepata idea. Ili kulifanya jaribio rahisi unaweza ukamwambia mwenza wako wakati umezamia chumvini na mzuka umepanda yeye afungulie mafuriko, nazani kwa mtindo huu sote tutafurahia tiba ya juisi ya mkojo.
 
Saa zingine una akili kama nini! Wamesema wa asubuhi eh? Ngoja nibake.

hehehe Mimi kesho alfajiri waifu atagundua miujiza kibao kwenye tendo lilobarikiwa, acha nikanunue tambara la deki kabisa just in kesi mzuka ukitukosesha shabaha.

bye bye vidonda vya tumbo na minyoo
 
Asante sana kwa ushuhuda mzuri Ngoshwe,
naamini hata wengine wenye tatizo kama hilo watajaribu pia kutumia na itawasaidia kama wewe.
:poa
 
Nawausieni wote wenye haya Maradhi Sclerosis, Colitis, Lupus, Rheumatoid Arthritis, Cancer, Hepatitis, Pancreatic insufficiency, Psoriasis, Eczema, Diabetes and Herpes. Ikiwa umekwenda hospitali kutumia Dawa na bado hujapona unaumwa ,Basi kunywa mkojo wako kila siku Asubuhi glasi moja kabla Hujala kitu kwa muda wa siku 10 maradhi yako yatakuwa yamekwisha pona jaribu kisha unipe Feedback.
 
Tunasubiri hiyo thread ya UTI
 
Eeeh! Bonge la uvumbuzi! Inawezekana kabisa mkojo ukawa dawa ya ukweli kutokana na ku-contain madin mbalimbali kwani hata asali ni dawa kwa kigezo hichohicho! So, kama unatatizo, usiogope jaribu tu! Ilimradi hauna sumu! Mbona watu asali tunabugui na wakati inatengenezwa na takataka mbalimbali??
 
Tatizo ni mkojo unapokuwa mchafu. Itakuwa kasheshe. Badala ya kutibu utaongeza ugonjwa.
 
Eeeh! Bonge la uvumbuzi! Inawezekana kabisa mkojo ukawa dawa ya ukweli kutokana na ku-contain madin mbalimbali kwani hata asali ni dawa kwa kigezo hichohicho! So, kama unatatizo, usiogope jaribu tu! Ilimradi hauna sumu! Mbona watu asali tunabugui na wakati inatengenezwa na takataka mbalimbali??
Mkuu Asali haitengenezwi na Takataka mbali mbali

kama wewe ujuavyo.. Uncle Jei Jei Kama kitu hukijuwi bora uulize tu sio tu kujisemea ovyo ovyo tu. Asali inatengenezwa na

Mdudu aitwae Nyuki aliye umbwa na Bwana Mwenyeezi Mungu Mtukufu .Wewe utasemaje Asali imetengenezwa na Takataka? Usiropoke kitu

kama hukijuwi uliza utajibiwa hapa Jamii Forums ni chuo Kikuu cha kila kitu wewe uliza kila kitu utajibiwa kwa haraka iwezekanavyo.
 
....Hongera zako Mkuu....Ila napiga picha kichwani ulivyokuwa ukiukinga mkojo wako sijui kwenye glass au kikombe....halafu ukiupeleka kinywani na kuanza kugombana na ladha yake ambayo sidhani kama inapendeza mdomoni.
Mzee mbona chumvini mnaenda? Hofu ya nn?
 
....Hongera zako Mkuu....Ila napiga picha kichwani ulivyokuwa ukiukinga mkojo wako sijui kwenye glass au kikombe....halafu ukiupeleka kinywani na kuanza kugombana na ladha yake ambayo sidhani kama inapendeza mdomoni.
Mzee mbona chumvini mnaenda? Mbona mnalamba na kulamba koni? Hofu na kinyaa kwn mkojo wako mwenyewe?
 
Kulamba rahisi kuliko kunywa bwana. Muambie ngoshwe, hata kama unalamba nanihii huwezi kunywa squirt fluid (ashakum si matusi)
:p:p
hahahahah lol! Bora unisaidie Best :):) Hapana ni vitu viwili tofauti kabisa pamoja na kuwa vyote mdomo unatumika....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom