ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
TIBA YA MKOJO:UMETENDA MAAJABU, SIWEZI KUELEZA!!!
Naweza kushuhudia sasa, ni tiba, inatenda maajabu nami siwezi kueleza, siwezi kueleza...nilisoma hapa https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/149278-kwa-wale-wenye-vidonda-vya-tumbo-unywe-urine-wako-mwenyewe-kama-huyu-nyani-anavyofanya.html na kwingineko katika tovuti..nilikuwa na vidonda vya tumbo na nimetumia madawa mengi ya kienyeji na hospitalini lakini yalionyesha wazi kuwa yanadunda, vidonda vilikamata kweli kweli mpaka samunge nilifika...bado vilisumbua. Mwanzaoni mwa wiki hii nilianza kupiga glasi ya Mkojo, sio siri..mkojo wangu mwenyewe..na matokeo yake nimeyaona..zile dalili zote za vidonda hasa ukichelewa kula, unapoamka asubuhi, ukila kitu cha baridi au chenye uchungu na ukakasi, ukiwaza sana nk zimekimbia..naendelea kutandika kikombe cha mkojo kila asubuhi.. nilitaka kufika kwa Rahabu Lubago na Dr, Ndodi lakini nikaona nitamaliza fedha..nikasame ngija nijaribu hii kitu..nawashukuru wana jamiii wenzagu kwa ushauri ..TUMIA MKOJO WAKO KWA MARADHI MBALIMBALI.,..Haukugharimu,
Soma shuhuda nyingi kwenye viunganishi hivi:
[url]http://www.earthtym.net/ref-UT-notes-1.htm
Urine Therapy - Omaha's Heartland Healing Center
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/26847-dawa-ya-vidonda-vya-tumbo-3.html
[/URL]
Urine Therapy
Urine Therapy - Benefits, Facts and Uses of Urine

Last edited by a moderator: