Umesoma Sociology?

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,837
262
Hii nimeiona mahali nikaona ni vema kuiweka hapa.
Kwa heshima na taadhima, naomba kwa wale wote waliosoma degree ya sociology kwa ngazi yoyote, iwe ni Tanzania au nje ya nchi bila kujali ni mwaka gani, bora tu ni sociologist, nitumie email address yako kwenye jucharl@yahoo.com. ni kwa mema tu na si kwa mabaya. Mengine yote tutawasiliana hukohuko kwenye email utakayotuma. Labda tu kwa kutoana uoga ni kwa ajili ya social n professional networking ambayo itakuwa useful kwa kila mmoja wetu. Ukiona tangazo hili mwambie na mwenzio unaeyemjua hata kwa simu ili tuwe na network kubwa. Asanteni.
Kama una swali uliza kwa kutumia email hiyo na utajibiwa.
 
Ubaguzi Je waliosoma PCM? ECA? Political science? waelekeze kwa kwenda
 
Ubaguzi Je waliosoma PCM? ECA? Political science? waelekeze kwa kwenda

Hapana ndugu nadhani hawa wanataka kuanzisha network yao Sociology "Birds of a Feather Flock Together".... ni kama watu singles walivyo na network yao au watu wa technology... sasa wewe wa ECA ukiingia hapa mtakuwa amuelewani.
 
Mimi ni volunteering sociologist.....nimekua induced na spouse wangu....
 
Hapana ndugu nadhani hawa wanataka kuanzisha network yao Sociology "Birds of a Feather Flock Together".... ni kama watu singles walivyo na network yao au watu wa technology... sasa wewe wa ECA ukiingia hapa mtakuwa amuelewani.

thanks kwa uelewa
 
Mimi nimesoma Sociology si kwa ngazi ya degree ila nimesoma ngazi ya Certificate Tengeru kisha nikabadilisha profession na kusomea uhasibu nitakutuia email.
 
Jamani mwenye swali tafadhalini ulizeni kwa email addres hiyo. maana mi ni mleta taarifa tu sina majibu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom