Umesikia kwa Gaddafi

Nondo

Member
Jan 19, 2011
45
12
Dah! Mpaka mda huu wameshauawa watu zaidi ya 400 na zaidi ya 1400 haijurikani wako wapi. Gaddafi amesema atapigana mpaka mwisho na hatokubali kuachia ngazi..
 
Dah! Mpaka mda huu wameshauriwa watu zaidi ya 400 na zaidi ya 1400 haijurikani wako wapi. Gaddafi amesema atapigana mpaka mwisho na hatokubali kuachia ngazi..

wameshauriwa ushauri gani?...kwa nini anashauri mtu mmoja mmoja?
 
Dah! Mpaka mda huu wameshauriwa watu zaidi ya 400 na zaidi ya 1400 haijurikani wako wapi. Gaddafi amesema atapigana mpaka mwisho na hatokubali kuachia ngazi..
Matatizo ya kuongozwa na raisi kichaa
 
Dah! Mpaka mda huu wameshauriwa watu zaidi ya 400 na zaidi ya 1400 haijurikani wako wapi. Gaddafi amesema atapigana mpaka mwisho na hatokubali kuachia ngazi..

Libyan ports and airports are open - Gaddafi's son

CAIRO Feb 23 (Reuters) - Libyan ports and airports are "all open" and life is "normal", the son of leader Muammar Gaddafi said on Wednesday.
"Life is normal, the ports, schools and airports are all open. The problem lies in the eastern regions," Saif al-Islam Gaddafi told Libyan television while touring the station's offices. "Life is normal ... Brothers, Libyans should come together in this national battle." (Reporting by Ali Abdelatti)
Libyan ports and airports are open - Gaddafi's son | News by Country | Reuters

Mass Burial - Tripoli, Libya FEB 22 - One Day On Earth
 
kiswahili kigumu aise...huyo jamaa atakuwa mchaga tu...Wameshauriwa!!!?

huyu jamaa ameshndwa kuelewa kiswahili kizuri ,na hakutaka kusema kushauriwa-adviced ila alitaka kusema wameshauwawa -dead,hivyo isomeka takribani watu 400 are dead
 
Ujumbe umefika ingawa ndo hivyo tena tunakitokomeza sisi wenyewe hiki kiswahili kusikojulikana. Its very sad actually to see someone killing other people. Nimeona kwenye aljazeera jamaa yuko juu gorofani kampiga risasi hapo hapo jamaa chini.
 
Dah! Mpaka mda huu wameshauriwa watu zaidi ya 400 na zaidi ya 1400 haijurikani wako wapi. Gaddafi amesema atapigana mpaka mwisho na hatokubali kuachia ngazi..

"Wameshauriwa" nini? Na nani aliyewashauri? Au ulimaanisha wameshauliwa?
 
Back
Top Bottom