Umeshindwa kupata mchumba kanisani,msikitini utampata online kweli???!!!

Haya toen ushuhuda walio pata humu wachumba mpaka leo wamejenga familia?alafu cna muda wa ku2nga mambo ili nimfurahshe nani?
 
Achani kujidanganya kwa vi2 ambavyo vko wazi,wewe kama ni muumini mchumba utampata kanisani/msikitini iweje leo uje utafute humu jamvini?tena humjui ingawa umeweka vigezo unavyovipenda lakni havitakua na nguvu kma yule unaemuona live.Jamani hebu 2acheni kupoteza muda kwa vi2 visivyowezekana.
Kuna wakati wa2 walilalamika humu wametafuta wachumba wamepata wachumba hao hawana lolote zaidi ya matamanio ya kukidhi tamaa zao za mwili 2.nimewah kuckia wengine wanaomba wawasiliane kwa skyper tena wanaomba waonyeshwe maeneo nyeti sasa hapo unahesabu umepata au anataka akidhi tamaa zake za mwili 2?Haya anaeona inampendeza na aendelee anaweza kumpata na wakajenga familia bora.
Nb: Ni mtazamo wangu na mawazo yangu yasiwe sheria.



Kokudo hayo maneno ulivyoyatoa tungebahatika kukusikiliza wakati unaongea naamini tungesikia jazba ya juu ndani yake. Naamini kwa upande wako una nia nzuri tu ... Lakini ni wapi/lini/nini? kime trigger hizo negative emotions kuhusu kudate au kutafuta mchumba humu ndani? Vipi ulijaribu the process ya kutafuta mchumba na uka experience issue mbovu? Walau tuelewe where its coming from...
 
Yes niliwah kutafuta humu but yalio nikuta nikajuta na kujua kumbe humu ni ubatili alie nipigia cm kumbe alikua ameshaanzisha maucano na rafki yangu kimbembe mshkaji kaiona number akajua nimemzunguka kumbe demu ndo hajatulia je hapo utasema nimepata au nimepatwa?

haijakaa vizuri..
 
Back
Top Bottom