Umeshawahi kuzuga watu kwa mtindo huu?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Unakuta umesahau unakoelekea au umepotea njia,kurudi nyuma ulikotoka unaona aibu mbele za watu halafu unaanza kushika mifuko ya suruali,jacket au mkoba mbele za watu kuonyesha umesahau kitu,au unajifanya unapokea simu, halafu ndo unarudi ulikotoka kutafuta mwelekeo.(kimoyo moyo unajiuliza hawajanigundua kweli?)

Hahahaha!nishaifanya sn hii,kuna cku nilikua nimeelekezwa kwenda ofic flan kumbe iko karibu na kijiwe cha tax ile kupita pale madreva tax km kawa wakawa wanashindana kunikaribisha km mteja wakanichanganya mpaka nikaipita ile ofic mbele kidogo nikachomoa cm nakujidai naongea nikageuka na kurudi nilipokua naenda na hakuna aliyeelewa somo lol!
 
hahahahahha inatokea sana,yaani unakuta sehemu unayokwenda haiko mbali na we mwenyewe unaelewa hutapotea.
ila sijui kama wanaoangalia huwa wanagundua
 
Nadhan hua hawagundui labda km utaanza kubabaika ovyo na kuangaza angaza kila mahali na kuonyesha kuchanganyikiwa ndio wanaweza kustukia mbaya zaidi awe ni mdada msister du alafu hata alipopita mara ya kwanza hakusalimia lol!
 
Kuna jembe langu moja hivi. Mtoto wa kiarabu tulikuwa kwenye function moja magomeni miaka ya end 90's, kumbe ilikuwa karibu na sehemu ya jamaa ake mmoja hivi si akaamua kumtafuta kwao, sasa hapo ndo akaingia nyumba sio kujja kutahamaki wameng'ang'ania eti mwizi kuna mmaza ndio alishadadia kama nini.. Aaah jamaa akaanza kuwachana ''ntaiba nini humu cha thamani ambacho kwetu hakuna, akatoa simu yake limotorola mche enzi hizo simu ndo zilikuwa zinaingia tu) haya nani aamiliki simu humu ndani hadi mi nije kuiba humu?'' Halafu huyoo akawa anaondoka kitemi huku maneno yanamtoka kawaacha wameduwaa
 
Marakadhaa nimekuwa nifanya hvo, mie niliwahi kuingia duka tofauti na nililoelekezwa, nikazuga kwa kujisachi mifukoni.
 
yaani kuna uzugaji wa aina nyingi
ila wa kupotea hasa kama ni madukani
najidai kuuliza kitu ambacho najua hakipo

duka la vyombo nauliza ticeti za meli.
 
Nadhan hua hawagundui labda km utaanza kubabaika ovyo na kuangaza angaza kila mahali na kuonyesha kuchanganyikiwa ndio wanaweza kustukia mbaya zaidi awe ni mdada msister du alafu hata alipopita mara ya kwanza hakusalimia lol!
ukiwa mdada ndo mbaya,usikute uliwapita hujawasalimia,na unaona soo kuwafuata uwaulize wakati hukuwasalimia mwanzoni
 
yaani kuna uzugaji wa aina nyingi
ila wa kupotea hasa kama ni madukani
najidai kuuliza kitu ambacho najua hakipo

duka la vyombo nauliza ticeti za meli.

Hahahaaaa, wewe ndio hujui kuzuga kabisaaa..!
 
Kuna mmoja alipiga miayo kwenye movie akanyoosha mikono aniwekee mabegani

Nikanyanyuka na kwenda chooni akashika tu kitu ..
 
Kuna jembe langu moja hivi. Mtoto wa kiarabu tulikuwa kwenye function moja magomeni miaka ya end 90's, kumbe ilikuwa karibu na sehemu ya jamaa ake mmoja hivi si akaamua kumtafuta kwao, sasa hapo ndo akaingia nyumba sio kujja kutahamaki wameng'ang'ania eti mwizi kuna mmaza ndio alishadadia kama nini.. Aaah jamaa akaanza kuwachana ''ntaiba nini humu cha thamani ambacho kwetu hakuna, akatoa simu yake limotorola mche enzi hizo simu ndo zilikuwa zinaingia tu) haya nani aamiliki simu humu ndani hadi mi nije kuiba humu?'' Halafu huyoo akawa anaondoka kitemi huku maneno yanamtoka kawaacha wameduwaa
dah jamaa mjanja sana,bila hivo wangemshushia cossovo
 
yaani kuna uzugaji wa aina nyingi
ila wa kupotea hasa kama ni madukani
najidai kuuliza kitu ambacho najua hakipo

duka la vyombo nauliza ticeti za meli.
hahahahaha,mara wanakuambia wanayo
 
Kuna mmoja alipiga miayo kwenye movie akanyoosha mikono aniwekee mabegani

Nikanyanyuka na kwenda chooni akashika tu kitu ..
hahahahhaha interesting,ulimkomoa,atakuwa ameona aibu
 
Kwa mimi imeshanitokea some times unakuta una mambo kadha wa kadha kichwani.
Ikatokea somebody who nearest to you, akakuongezea stress vikakupelekea uko road na ukajikuta umeongea peke yako !
Ghafla una'recognise some pipo wamekustukia unaongea man'alone , hapo mie hutumia technic kuendelea ku'talk , naweza ku'act kama naimba hivi.
 
yaani kuna uzugaji wa aina nyingi
ila wa kupotea hasa kama ni madukani
najidai kuuliza kitu ambacho najua hakipo

duka la vyombo nauliza ticeti za meli.

Clap clap clap' ehehehehe weee noma.. Tena unajifanya mpemba pure unataka ticket ya meli si unajua maduka ya vyombo mengi ni ya wachaga hapo lazma wakuache uende huku we kicheko moyoni
 
Kwa mimi imeshanitokea some times unakuta una mambo kadha wa kadha kichwani.
Ikatokea somebody who nearest to you, akakuongezea stress vikakupelekea uko road na ukajikuta umeongea peke yako !
Ghafla una'recognise some pipo wamekustukia unaongea man'alone , hapo mie hutumia technic kuendelea ku'talk , naweza ku'act kama naimba hivi.
teh teh teh ila hiyo ya kuimba mi nadhani ni rahisi kugundulika
 
Kwa mimi imeshanitokea some times unakuta una mambo kadha wa kadha kichwani.
Ikatokea somebody who nearest to you, akakuongezea stress vikakupelekea uko road na ukajikuta umeongea peke yako !
Ghafla una'recognise some pipo wamekustukia unaongea man'alone , hapo mie hutumia technic kuendelea ku'talk , naweza ku'act kama naimba hivi.

Technically speaking hiyo style ya kuimba ndio njia pekee ya kuzuga ikikukuta circumstance kama hiyo.. Umenivunja mbavu
 
Binafsi majuzijuzi imenikuta mara 2 hii hali... Namwita mtu tena kwa nguvu kabisa kugeuka kumbe siye.. First tym nkazuga kumuoneshea mwingine wa mbele na sio yeye, ila hii ya pili ilibidi niwe mpole nkamtaka radhi jamaa kuwa nimekosea.. Ambacho nimegundua ukikutwa na hali ya kuchanganya habari akili hufanya kazi zaidi ya mara mbili tena mbinu zinakuwa kibaooo cjui ni adrenaline inafanyaga mambo yake daaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom