Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
...kama umeshawahi kuiona basi unaijua nguvu ya umma.
We hujaiona. Hivi yule jamaa aliyeficha silaha siyo aliyewauwa maadui kwa kuogea naoSabibo na Nguvu ya Uma wapi na wapi Nakushauri ukaitizame Upya hiyo Movie
We hujaiona. Hivi yule jamaa aliyeficha silaha siyo aliyewauwa maadui kwa kuogea nao
Kuna film zilizo karibu na Nguvu ya Umma ila siyo hiyo.
Mie ninayo ingawa sikuipenda sana kwani kuna film nyingi kuhusu Concentration Camps ila hii si nzuri sana. Angalia kama hii ya Roman Polanski ya PIANIST.
Na kuhusu ESCAPE, nafikiri pia zipo nzuri sana ambazo waweza kuziangalia na ukazipenda.
Sabibo na Nguvu ya Uma wapi na wapi Nakushauri ukaitizame Upya hiyo Movie
duh hii ni pumba
Nadhani utakuwa umetizama Sabibo iliyotafsiliwa na Lufufu kwa Kiswahili mule hakuna Nguvu ya Uma Mkuu.... Nadhani Uma Huuelewi maana YakeWe hujaiona. Hivi yule jamaa aliyeficha silaha siyo aliyewauwa maadui kwa kuogea nao
Wewe ndio Kabisa Uma kwanza inatakiwa wawe ni raia wa Nchi hiyo!ni nguvu ya umma ile, labda kama hujui maana ya nguvu ya umma
Ile film huwezi kuiita nguvu ya umma. Labda useme "nguvu ya wafungwa" maana walijipanga gerezani (kwenye kambi la mateso) na kuwavaa maadui na kukimbia (kujipa uhuru) toka kambi la mateso. Nguvu ya umma ni zaidi ya hiyo. Ngvu ya umma ni ya wananchi wanyonge walio katika makazi yao ya kawaida lakini kutokana na kuonewa na kunyanyaswa wanaamua kuleta mapinduzi kwa nguvu kwa kumtosa mkandamizaji. Kwa hiyo nguvu ya umma ni ya jamii nzima na wala si kikundi fulani cha watu, kv. wafungwa, wanafunzi, nk. Katika nguvu ya umma yanaingia makundi yote na kuwa nguvu moja, yaani ya umma.