Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Kuna uchafu zaidi ya huo, mpaka "r8p...r*Pe". Ni vizuri ukajifunza how to safely navigate the dark web usipojua utajikuta umeangukia kwenye vyombo vya usalama kwa sababu dark web ni kama mine field ambayo ukitembea bila kujua mines zimepandwa wapi utalipuka. _ _ _ _ _ ___ _ hatua zako.
nasikia ukiingia humodeep web ukqchunguza sana wanaweza kukuua na mionzi ni kweli?
 
Mmh!! Hata msifikirie kwenda deep web...

Vitu kama youtube... google... yahoo... na zinginezo mzaziona hapa... huko ni balaa...

Hapako salama hata kidogo... ukifanikiwa kuingia... hisitoria yako yote ya kwenye mtandao ina kuwa track up... mambo yote uliyokwisha fanya yanakuwa wazi...


Kama wewe siyo professional hacker.. unaweza ukashangaa ukawa muhanga wa mambo mabaya na machafu...


Wote mnaotaka kwenda huko chunguni sana.. IP au static IP addreaa zenu zisiweze kuwa tracked... laa sivyo mmh...

Mtasikia tu fulani kapotea kwenye mazingira ya kutatanisha ndiyo hivyo tena.. unaenda kufanyia live show za mambo mabaya na machafu...

Porn za huku ni za 18+ za huko ni za 11-


Biashara haramu zimejaa huko... ukiagizia kitu.. baada ya kufanya mihamala na credit card yako... wanadukua taarifa zote.. na kuambiwa unaweza kuvipata au kutovipata kulingana na mazingira yatakavyoruhusu... sababu ni magumashi...

Uki agizia kitu taarifa zinazokuja duniani ni kama vile imeagizia kipande za sabauni... kumbe ni mambo ya ajabu umeagizia...


Kuna site huwezi kuingia mpaka uwe hacker... na ukiingia huwezi kuzigunga yani kutoka kwenye hiyo web page.. mpaka waamue wao na huwzi kuzima mashine yako... wana ku pin... huwezi fanya chochote na kifaa chako...


Panaogopesha sana... kweni makini sana.. na Deep web... msitembelee vitu vinavyoitwa black box...


Msijaribu hata kwenda huko.. endeleeni tu ku stream makatuni youtube... huko uwe na roho mbaya...
Kumbe naishi kijijini na sijui kitu. Leo ndii nimejitambua. kuna watu wanaishi duniani. ...
 
Achana na deep web kama hujui kujilinda.

Ukiingia kichwa kichwa unaweza kupoteza kila kitu.

Watu wa humo wana akili kuliko wewe unaeingia leo.
Ebu nifafanulie kupoteza kila kitu kivip mkuu...

Kama naingia naangalia then natoka uko how comes niwe matatizoni mkuu..? Ebu nifafanulie kidogo

0404
 
wakuu mi nimeenda huko dark web ukisikia biashara haramu bas ndiyo sehemu yake huko .;mi nimeagiza AKA 47 moja inakuja wiki ijayo.
Hahahaha vipi mkuu imeshafika uniazime nitumie kidogo..!

0404
 
  • Thanks
Reactions: 7ve

Similar Discussions

Back
Top Bottom