Umeshapata Chanjo

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Umeipata hii kali ya huko Mbeya Wazee huko wanajichukulia visichana vidogo vya primary na vimepewa jina ati wanadai kupata chanjo ni kuvimega visichana vidogo.
 
Tafakari nzuri kwa kujiandaa na "SIKU YA UKIMWI DUNIANI"....Yaani pamoja na matangazo yote,mahubiri yote na ma-NGO yote bado hao wazee wa Mbeya wanatafuta 'chanjo' kwa watoto wadogo...long way to go against HIV/AIDS
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom