Umeshaelimisha watu wangapi juu ya umuhimu wa kupiga kura na kuichagua CHADEMA?

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Jamani wadau binafsi nina watu 20, na wazee wakiwemo ambao wamekubali kusaidia kuitoa CCM madarakani kwa kuinyima kura zao 2015.JE WEWE UMEWAELIMISHA WANGAPI JUU YA UMUHIMU WA KUPIGA KURA NA KUICHAGUA CHADEMA?weka idadi tufanye tathmini.
 
1. Unafikiri ni bora tukachagua chama au tukachagua mtu?
2.Je unadhani kila mtu anayetokea Chadema anafaa kuwa kiongozi? Au unadhani kila mtu anayetokea CCM au CUF,au NCCR au TLP hafai kuwa kiongozi?
 
Mimi ninao 18.kila mjinga akikutana na mimi hapo hapo nampa elimu.Nashukuru mpaka vijijini ninapoenda nawaelimisha juu ya kuipiga chini CCM
 
wote wanaoandamana andama dhidi ya ccm,, nimewajuza lakini wananipa swali huo mziki wa kuandama mtaukomesha hata pindi ccm itakapokuwa haipo madarakani? Siyo lazima chadema iwepo madarakani na kinaweza kuwepo chama chochote mbali na cdm au ccm. . Nipeni majibu kwanza nione fokasi yenu.
 
Kama 200 na zaid kwa nilianza na form six wote wa st antony na nkainga mtahan kisha nlipata tempo kufundisha nikawashi na wanafunz wangu pia
 
Back
Top Bottom