Umesha Jaribu hii

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
424984_358986700839334_1742211484_n.jpg
 
Aje Bishanga atwambie,naskia kuna kitu inaitwa Olubisi,sio hii!?
 
Sio Rubisi wala ulanzi, hiyo ni CHIMPUMU. Hapo ungemkuta PM akiwa na wazee wa sumbawanga, kitu inogile
 
Duuh kitu kimpumu hiyo, hapo unaongeza hot water tu kitu inazimuka.:israel:
 
wengine wanarudishia humo, wanaweza kutemea mimate! yaani hii kwa kweli kiafya sio!
 
Hii ni ya kupiga marufuku kabisaa, maradhi nje nje, watumiswaki hawapigi, colgate yashida!
Na ninasikia hapo wakati wa kunywa mnakuywa kwa seniority, wakubwa wanaanza then wadogo halafu wanawake, ukiona mkubwa anakunywa subiri atosheke ndio uchomeke kijiti chako, sasa olewako ukosee, utakohoa hadi kwenu utarudi nyumbani utalala,
wachatuuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom