Umeona vifua hivi ?

Kwangu mimi hivyo siyo vifua, maana ukiunganisha vinne ndiyo vinalingana kifua changu (ona picha yangu hapo juu). Hivyo ni vifua vya ugali tu, changu ni kifua cha vyakula vya pesa.
 
Back
Top Bottom