Umeona vifua hivi ?

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Wtu wanatanua VIFUA tayari kwa mpambano ! Ukikutana nao USIKU kwenye kichochoro shauri yako !
 

Attachments

  • WATU WAN TANUA VIFUA.jpg
    WATU WAN TANUA VIFUA.jpg
    38 KB · Views: 972
Ni mambo ya kizamani hayo... Wanatanua kifua ili iweje?????? Hawana kazi hao kutwa kushinda kijiweni kubeba vyuma,jioni ndo wezi wenyewe hao.
 
Unajua watu hawa wanahatarisha maisha yao kwa kubeba hii kitu bila vipimo maalimu hatimaye upande mmoja kifua kinatanuka ziadi ya mwingine.
 
Aiseee baba yangu nadhani wanajiandaa na 2015,,,kwa mwanamke ukikutana nao msitu wa pande lazima uvue underweya
 
Sina uhakika kama wanabeba kwaajili ya mabinti na kukaba au vinginevyo, kama lengo lao ni kujiweka vizuri kimazoezi basi nawaunga mkono.
 
wala hakuna ubaya wowote,wanafanya mazoezi kwa raha zao hadi nawaonea wivu.
 
Namna wanavonyanyua haya makitu maeneo haya, ni wazi wanatumia hii nguvu kwa manufaa mengine. sio mazoezi tu haya.
 
oi hawa wapo sawa tatizo Lishe naona hawajaweza kui balance so Wataishia Kukomaa na kupinda au kujaa ndivyo sivyo



 
Back
Top Bottom