Umeoa Msukuma?

Kingine wanawake wa Kisukuma sio wabishi wanajua wajibu wao kama mama.
Wanafua kufuli zao na za waume zao si wabishi pale mnapo pangiana majukumu.

Fidel, dont tell me umeoa huko, maana otherwise usingekuwa na details za kiundani namna hii ..Basi hongera Mkuu
 
Lol, mzee wa zanzibar unauzoefu. Zenji wapo wasukuma?

Huwa nependelea sana kwenda usukumani kipindi cha vekesheni na ninawajua vilivyo 2012 unajua mtoto huyu ni wapi? we kaa mkao wa kula
 
Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?
..MKuu inakuwaje? Mimi nina fiancee wangu ni msukuma kwa baba na mama kazaliwa kijiji cha mwanamashimba, tarafa ya hungumalwa, wilaya ya kwimba wamehamia huku mjini Dar akiwa darasa la 3 hadi hii leo ukionana nae na kumsikiliza hakuna hata chembe ya usukuma..Umewasifia kwa mengi mno...ila wangu nimempenda kwa vigezo vyangu tu otherwise ni viumbe wa kawaida tu...punguza machejo!
 
Fidel, dont tell me umeoa huko, maana otherwise usingekuwa na details za kiundani namna hii ..Basi hongera Mkuu

Mkuu nina kifaa tokea huko mm naoa 2012 fikiria bado sijamwoa makufuli yangu aina ya boxer anafua yote mm navaa tu na kuvua yeye anayasafisha kila kitu kwangu mm sijui kufua wala kupiga debe. Nawapenda sana mabinti wa Kisukuma wana mioyo ya upendo.
 
Niko fair kabisa. Nioneshe wapi nilipokuwa unfair maana wewe umeleta mada kuhusu wanawake wa Kisukuma na mimi nimechangia kuhusu wao. Hamna mtu anayecheza karata ya ukabila hapa. Umeleta mada na sie tumeanza kuchangia.

Mimi bahati mbaya niko mbali na mikoa ya kanda ya ziwa wanakopatikana wasukuma kwa wingi.Bahati nzuri jirani zangu ni wasukuma,sijawahi kuona wasichana vicheche kama wasukuma tena wanapenda kutembea na wanaume walioa wanachojali sana ni pochi yako tu.Labda tabia zao zimeathiriwa na malezi au kukaa mbali na sehemu ya asili ya wazazi wao.

Kitu kingine nilichojifunza kwa majirani zangu wa kisukuma ni kupenda ushirikina kupita kiasi.Kila baada ya muda mfupi kupita lazima walete mganga kutoka usukumani.

Tabia nyingine mbaya ya wasukuma ni ndugu jamaa na marafiki kujazana nyumbani,Pakajimmy ukioa msukuma jiandae kujenga nyumba kubwa kwaajili ya kupokea ndugu na marafiki kutoka ukweni.
 
Dah mtoto wa Kisukuma akitabasamu meno yale dah alafu fizi zile yaani balaa.
Wanamiguu mizuri iliyo jaaa na kuumbika vizuri.
Wana nywele nzuri nyeusi tiii alafu ndefu wengi wanao fuga nywele hufuga mpaka zinadondoka mgongoni.

Halafu hawapendi kujichubua na kujiharibu miili yao.
 
Tabia nyingine mbaya ya wasukuma ni ndugu jamaa na marafiki kujazana nyumbani,Pakajimmy ukioa msukuma jiandae kujenga nyumba kubwa kwaajili ya kupokea ndugu na marafiki kutoka ukweni.

We acha kupotosha watu wewe. Hii kitu si kweli.
Ukioa mgogo je itakuwaje?
 
..MKuu inakuwaje? Mimi nina fiancee wangu ni msukuma kwa baba na mama kazaliwa kijiji cha mwanamashimba, tarafa ya hungumalwa, wilaya ya kwimba wamehamia huku mjini Dar akiwa darasa la 3 hadi hii leo ukionana nae na kumsikiliza hakuna hata chembe ya usukuma..Umewasifia kwa mengi mno...ila wangu nimempenda kwa vigezo vyangu tu otherwise ni viumbe wa kawaida tu...punguza machejo!

Huyo wako katokea Bukoba na sasa anajifanya Msukuma. Au usikute katokea Ukerewe. Unajua Walerewe wengi sana wanatamanigi kuwa Wasukuma. Dizaini umepata kanyaboya wewe
 
Halafu hawapendi kujichubua na kujiharibu miili yao.

Ukimwona mweusi anakuwa na weusi wa kung'aa.
Ukimwona mweupe ni mweupe kweli hata doa au baka hakuna.
Hawanaga tabia za kijichubua kama wenzetu wale wa kusini.
 
Mimi bahati mbaya niko mbali na mikoa ya kanda ya ziwa wanakopatikana wasukuma kwa wingi.Bahati nzuri jirani zangu ni wasukuma,sijawahi kuona wasichana vicheche kama wasukuma tena wanapenda kutembea na wanaume walioa wanachojali sana ni pochi yako tu.Labda tabia zao zimeathiriwa na malezi au kukaa mbali na sehemu ya asili ya wazazi wao.

Kitu kingine nilichojifunza kwa majirani zangu wa kisukuma ni kupenda ushirikina kupita kiasi.Kila baada ya muda mfupi kupita lazima walete mganga kutoka usukumani.

Tabia nyingine mbaya ya wasukuma ni ndugu jamaa na marafiki kujazana nyumbani,Pakajimmy ukioa msukuma jiandae kujenga nyumba kubwa kwaajili ya kupokea ndugu na marafiki kutoka ukweni.

Hujakutana na Wakurya,,,,,,,,,
 
Ni kweli wana adabu sana lakini zaidi ya yote wanajua mambo ya fargha,nafikiri wanafunzwa jinsi ya kuishi na waume zao.sihadithiwi ninae.
 
Yaelekea JF imejaza wasukuma tu...mnataka kutulazimisha tukubali hiyo misifa mnayowapa hao wanawake wa kisukuma...Ngoja. Na sisi wamang'ati tunakusanya nguvu tutalianzisha tu hapa tuone!!
 
Kitu kingine nilichojifunza kwa majirani zangu wa kisukuma ni kupenda ushirikina kupita kiasi.Kila baada ya muda mfupi kupita lazima walete mganga kutoka usukumani.

Tabia nyingine mbaya ya wasukuma ni ndugu jamaa na marafiki kujazana nyumbani,Pakajimmy ukioa msukuma jiandae kujenga nyumba kubwa kwaajili ya kupokea ndugu na marafiki kutoka ukweni.

Huh!
Lakini, waswahili walisema kila barabara murefu lazima inakuwa na kona!

Huenda kuna ukweli juu ya hili, japo wataalamu na wenyeji wa huko watatuambia vizuri juu ya hili!!
 
Ukweli ndo huo ukioa msukuma wageni hawaishi,wasukuma ni wakarimu sana.
 
Wacheni maneno yenu!

Nyie mmewapenda na ni wanawake kama wengine sasa na mimi hapa nitakuja kusema umeoa Unyirambani? Tabi nzuri mtu hazaliwi nayo hufunzwa na kujifunza; asa mie madm wote nilijifunzia ni hao hao wasukuma vicheche kwisha kazi tena anakupa wewe leo kesho anmupa mshikaji wako tukajikuta wametumaliza badala ya sisi kuwamaliza; na usiombe dem mweupe wa kisukuma ndio balaa kwani nasikia huko kwao ni keki sana hivyo anakuwa na nyodo mfululizo!
 
Yaelekea JF imejaza wasukuma tu...mnataka kutulazimisha tukubali hiyo misifa mnayowapa hao wanawake wa kisukuma...Ngoja. Na sisi wamang'ati tunakusanya nguvu tutalianzisha tu hapa tuone!!

Hizo ndizo sifa za wanawake wa kwetu bwana,huo ndio ukweli wenyewe(hata kama hampendi)..Julius kazieleza vizuri hasa sifa za mwanamama wa kutoka Sukumaland
 
Nacho wapendea zaidi ni warefu na wenye maumbo mazuri huku wakiwa na sauti nyororo zenye kumtoa nyoka pangoni. Kwa kweli ni warembo sana watoto wa Usukumani.

Jamani mimi mbona Mwanza na Shinyanga huwa nakwenda mara kwa mara ila siwaoni?
 
wasukuma wana heshima sana kwa mwanaume, pesa sio isuue saana kwao,wanajua kupenda kweli kweli ila pia wanatabia ya kurundikana kwa ndugu.
 
Back
Top Bottom