Umenitoka Moyoni..

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,958
6,075
Umenitoka Moyoni kwa kusema kweli!
nilikupenda sana kuliko mtu yeyote hapa Duniani lakini matendo yako..
yamenichosha sana unipigii simu mpaka uwenashida,uniambii unanipenda mpaka nikiwa natakakukupa Fedha
kila siku unashida na kuumwa hakuishi kweli unanipenda au unapenda Pesa zangu....
Mimi nilikupenda sana lakini nimeona bora niache kiende kuliko kuking'ang'ania kikaendelea kuniumiza kwakheri Mpenzi Wangu....
 
Kweli!..,maisha ya Sahvyi watu kama ninyi katika 10 ni 2 tu.
 
Pesa inatutesa sana wenye mapenz ya kweli@Angel.
 
Pesa yenyewe rahisi kuipata ukijituma. Unashindwa kuishi na mtu anayekupenda kutwa kuendekeza shida. Dah! pole sana, vizuri ameonyesha hiyo tabia kabla ya kuuvaa mkenge.
 
Asante!Pesa si tatizo lakini kwa mtu unayetaka kuwanaye maisha yako yote hutaweza ni bora uache kiende kitakuumiza baadae...,pesa ya sasa hataujitumaje ni ngumu kuipata.
 
mkabidhi mastercard kabisa ili akipata shida akavute mwenyewe bila kukuombaomba kila wakati.. hakikisha account iko loaded full time, though
 
Stil i wonder...ivi kuna binti yeyote in town utamwambia mapenzi bla pesa akakuelewa...?
 
Kupendana kunaendana na kusaidiana. sasa kama ana shida unataka azipeleke wapi? Akiwapelekea wengine wamtatulie utalalmika kwa nini shida zake hakwambii!! Sasa amekuletea, wewe tatua! Kama huna uwezo useme tu umechemsha ili aende kwa wengine wamsaidie.

Kusaidiana katika mapenzi ndo mpango mzima!!! Kula na kuliwa!!
 
Hii ndio changamoto, anayekupenda humpendi unayempenda hakupendi!

Wengine wanaomba kupigiwa Simu, wengine wanaona wanasumbuliwa na misimu isiyoisha!

Pole kwa wote wenye situation kama yako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom