Umeninyima nyama,na supu pia???

Shekispia

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
224
30
Kuna jamaa alikuwa anamfukuzia demu lakini yule dem akawa anachomoa,siku moja huyu dem alikuwa anafua nguo zake za ndani "chupi",jama akatokea pale na kuomba maji ya kunywa.Ile dem anarudh akamkuta jamaa anakunywa yale maji anayofulia chupi zake.Dem kwa hasira akumuuliza ndo nini hvo unafanya???Jamaa akajibu...UMENINYIMA NYAMA SAWA,BASI HATA SUPU YAKE NISINYWE!!
 
Back
Top Bottom