''umenifanya niwachukie wanaume wote ulimwenguni''

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari zenu wadau!ebana kuna mmanzi mmoja aliwahi kuwa galfrd wangu wa enzi hizo,bt ilitokea tukatofautiana then kila mtu akaenda njia yake ila ye bado alikua ni kama ananilalamikia mie kuwa ndo chanzo cha yote,asa tukachuniana kwa muda kidogo ila leo nkashikwa na kiherehere cha kumtafuta,2kasalimiana fresh then nkamtania kwamba shemeji yangu hajambo?eti ye akanijbu kwa niliyomfanyia yalimfanya awachukie wanaume wote ulimwenguni.sasa najiuliza hvi inawezekana kosa la mtu mmoja limfanye mtu awachukie watu wa jinsia flani kias hiki jaman au ananizuga tu?
 
that is very very possible and it is mostly a big deal for a biginer....initially mtu unapo kuwa kwenye jambo ambolo nigeni ukategemea positive ikaja negative huwa ni ngumu kubadilisha mtazamo ktk suala huska....so be true not to hurt any one else
 
Aah wapi ukisikia dem anakuambia hivo basi jua anachakachuliwa kichizi so anakuzuga,kunatafita imeonyesha kua demu akumizwa huwa revenge anayo fanya ni yakufa mtu coz atawapanga men kichizi huwa anakua katika temporary insane anapotendwa so ndo huwa anafanya makamuzi na yeye..
 
Habari zenu wadau!ebana kuna mmanzi mmoja aliwahi kuwa galfrd wangu wa enzi hizo,bt ilitokea tukatofautiana then kila mtu akaenda njia yake ila ye bado alikua ni kama ananilalamikia mie kuwa ndo chanzo cha yote,asa tukachuniana kwa muda kidogo ila leo nkashikwa na kiherehere cha kumtafuta,2kasalimiana fresh then nkamtania kwamba shemeji yangu hajambo?eti ye akanijbu kwa niliyomfanyia yalimfanya awachukie wanaume wote ulimwenguni.sasa najiuliza hvi inawezekana kosa la mtu mmoja limfanye mtu awachukie watu wa jinsia flani kias hiki jaman au ananizuga tu?

Inawezekana; Hasty Generalization - (psychology): transfer of a response learned to one stimulus to a similar stimulus.
 
ndio maana mie huwa sibebi mayai yote kwenye kapu moja, haya yakidondoka yakavunjika angalau nabaki na kikapu kingine! we utawekezaje mwili roho na nafsi kwa mtu mmoja? lazima uwe na kidumu ili ndoo ikimwagika kidumu kinaokoa jahazi, hii ni kwa waliokomaa kiakili tu !
 
duh nimeipenda sana hii picture!
avatar55155_4.gif
 
inawezekana kabisa. kama hujatendwa huwez jua bana, ngoja siku yakukute
 
Rafiki yangu achana na mawazo ya watu ebu mrudiane na mola atawasaidia mwisho mtaoana. Shirikisha watu wanaowazidi umri ili wawasuluishe.
 
nachofahamu ni kwamba huwezi wachukia wanawake/ume kwa sababu mmoja alikutenda ila unakuwa huwaamini, na hujiamini yaani next relationship huwezi ingia mzima mzima afu inakuwa kama ipo haipo hivi yaani unahisi anytime itaisha, ni kwamba huwaamini-huwachukii, kwa nature ya kibinadamu huwezi kuwachukia watu wote...kuna attractive force kati ya mwanaume na mwanamke so ni vigumu kuchukiana....nawasilisha!!
 
Mimi naamini Moyo "safi" unaomjua Mungu na Ukajaaliwa kupenda... Hata ukivunjwa na kua kama vipisi vya kioo kilichovunjwa huweza mend.... Na kupenda tena; Mda gani itachukua? Wa namna gani atependa? Inategemea na mtu na circumstances.... Mtu wa kuchukia moja kwa moja namna hio ni lazima ana tatizo. Hivo inawezekana; ila naweza sema ni bahati kwa yule ambae alijing'amua kwa huyo.
 
Kuchukia kundi zima la watu kisa mtu mmoja wa kundi hilo kakutenda ni ufinyu wa akili na upeo mdogo wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom