Umemwona bi kidude??

auparamie kwa hicho kibwalabwasi chenye ndita acha utani kaka.

mimi ndio nakueleza mkuu, hiyo ni kwa mujibu wa mahojiano niliyowahi kuyasikia akifanya na mtangazaji, ila alisema huwa anaparamia za wazee wenzake tu
 
mimi ndio nakueleza mkuu, hiyo ni kwa mujibu wa mahojiano niliyowahi kuyasikia akifanya na mtangazaji, ila alisema huwa anaparamia za wazee wenzake tu
basi huwa vinatianatiana tu shombo za mahaba na si zaidi ya hapo halafu kwa umri huo niakama katoto sasa.
 
Guinness World Book of records, Bi KIDUDE the oldest singer in the universe.
Naomba tulipigie kura hili jambo.

Du ni msanii mkongwe ila hakufaidika na usanii wenyewe. Kwa sasa hivi ni mgonjwa na uzee ila hana huduma nzuri kabisa. Serikali ifikirie social security kwa old age. Jamani wazee kama bi kidude wako wachache hebu serikali ione ni namna gani ya kuwatunza hawa wazee na si kuwaweka katika mabweni kama yale ya Morogoro hakuna huduma kabisa. Eti kuna ustawi wa jamii Tanzania!!! Hii idara ifungwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom