Umemwona bi kidude??

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
19.jpg


14.jpg


15.jpg


16.jpg


17.jpg
 
Guinness World Book of records, Bi KIDUDE the oldest singer in the universe.
Naomba tulipigie kura hili jambo.
 
Mmmh umri wenyewe wa kikisia sasa hivi utampigia kura na kitu hakina uhakika?
 
anajifanya amezidi miaka mia ati....bibi huyu pasua kicha ajabu...kwa wale walioangalia bibi poa wale wa clous tv wanajua kuwa ameshakuwa na akili ya kitoto sasaivi,uzee noma.
 
Hizi picha za mwaka gani ? Maana sasa hivi afya yake ni mgogoro, hawezi fanya manjo njo kama hayo !!!
 
nimemwona mkuu ila hizo nguo alizovaa zimeniudhi sana hata kura yangu hawezi kupata
 
Nlisha soma thread moja hspa inayosema kuwa kesha chemka zake, sijui ilikosewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom