Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

mimi nime save Idara ya habari ""MAELEZO"" nikiboresha SHIHATA, maana hawaishi kuuliza uko wapi, unafanya nini, upo na nani, utarudi saa ngapi, nipe niongee na fulan kama uko kazini n.k
ha! ha! ha! ... hii kali
 
Back
Top Bottom