Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

nishalia weekend nzima lakini haikusaidia amebaki kunidanganya tu. STUNTER njoo hapa urekebishe usemi wako
Bae Mimi Unajua fika kwako nimezima kabisa, mi ni mgonjwa kwako tena niko weak kabisa, So sina ujanja kwako na siwezi kujinasua
 
Maana yeye kama upo mbali mnaongea penye simu huwa kuna yale maneno ya kuagana kama usikumwema darling au nakupenda vitu kama hivyo yeye hamna yaani huwa mmoja anakata simu ndio muagano huo mnamaliza kwa ugomvi siku inakuwa imeisha.
 
Wakati tunakua nilim save"Endless"...Now tumefunga ndoa nimem save "Mke Wangu"
Ukim save mwenzio kwa nafasi yake kwako inasaidia hata ukipata tatizo kupitia simu yako watu wanaweza jua nani wa kumtafuta.
 
Back
Top Bottom