Umemlinda mumeo kivipi???

Hilo nalo neno, mtuombee jamani tunategwa mno huku makazini na kwenye mabiashara yetu na wanawake wenzenu wasio na huruma kwenu!
 
Hilo nalo neno, mtuombee jamani tunategwa mno huku makazini na kwenye mabiashara yetu na wanawake wenzenu wasio na huruma kwenu!
mmh tungeombeana 2 maana hata ss tunasumbuliwa sana na mibaba wenzenu isiyo na haya lol.
 
Wangu nimemvalisha secret camera na electronic finger print detector. Soon nitamfunga electric wire fence
 
Kuna wamama wengi tumekuwa kimya sana na wengi wamekuwa kimya sababu
awataki kujua jukumu lao...baibo inasema wanawake watawalinda mumewe

wewe kama mke umemlindaje mumeo??ujawahi kukesha hata kumuombea mungu amuepushe
na zile small houses....anyway nisikupe desa msikate tamaa jitahdi kumuombea mumeo maombi
ni nguvu kubwa katika maisha yenu ya kila siku

mungu awabariki
Pdidy, wewe mumeo hana 'small house(s)?
 
Umesema kweli sister, kuna wanawake walokuwa wanakesha kuwaombea waume zao na hawakubadilika na small houses wakaziongeza kwa wingi!! Unaweza guess nini ilikuwa hatma ya hizo ndoana! Wanaume mifyagio sio kabisa!
My own sister did that, na aliishia kufa kwa ukimwi mwaka 2009!Tena yeye mumewe alikuwa hana kazi toka 1987, akawa anamlisha, na kumvisha plus starehe zingine zooote!Mwanaume akabatizwa jina la FATAKI WA ILALA, kila siku hukosi chupinya bar maid kweney gari. Sister alimuombea sanaaa, hadi anafariki analiombea hilo jibaba!To be honest, wanaume mlio wengi akili zenu zinaongozwa na viungo vyenu vya kiume ndo mana mna uwezo wa kuwazalisha vichaa!

Wanawake, sikatai muwaombee hao waume zenu, ila ukiona mtu habadiliki please chukua hatua, usijiumize bure kwa kukosa maarifa!
 
Hilo nalo neno, mtuombee jamani tunategwa mno huku makazini na kwenye mabiashara yetu na wanawake wenzenu wasio na huruma kwenu!

yaaaaaaaaaaaaaniiiiiiii wanawake wa sasa ni hatari kuliko hata mabomu ya IRAN muwe makini mkijichanganya atuwaaachi tuko kikazi zaid
 
my own sister did that, na aliishia kufa kwa ukimwi mwaka 2009!tena yeye mumewe alikuwa hana kazi toka 1987, akawa anamlisha, na kumvisha plus starehe zingine zooote!mwanaume akabatizwa jina la fataki wa ilala, kila siku hukosi chupinya bar maid kweney gari. Sister alimuombea sanaaa, hadi anafariki analiombea hilo jibaba!to be honest, wanaume mlio wengi akili zenu zinaongozwa na viungo vyenu vya kiume ndo mana mna uwezo wa kuwazalisha vichaa!

Wanawake, sikatai muwaombee hao waume zenu, ila ukiona mtu habadiliki please chukua hatua, usijiumize bure kwa kukosa maarifa!

mwaya hili siri yako na jf atakaesoma
usikimbilie kulilalamikia hilo jibaba kuna wengine wanaongozwa na laana ZA ukoo pengine ukoo wenu mna laana ya small houses dadako akawa ameikimbia hiyo laana bila kujijua jinsi ya kujitoa kwenye maombi ikamkumbatia mumewe nae ndio hivyo,,,rip sis,polen sana kwa hili ila nimeona ukweli wanawake wengi awajui jinsi ya kujitoa kwenye maombi ..asbh mpaka jioni msosi,jumatatu mpaka jumapili mlo,tar 1-31 mlo,jan -dec mlo wewe huo mwili wako??wa mungu chukua muda utoe dhabihu shida zenu ziodoke ati hata kama mmekuwa wabaili kutoa kanisani basi funga else mtalia mpaka mwisho
 
Ukifanya mchezo laana aina muda hata kama unahisi umeikimbia wewe leo hii usipojua jinsi ya kujitoa kwenye maombi utaishia kuaibika mpwa nakupa siri yako take it frm m ,,hakuna dhambi kubwa kama laana kwanza inakumaliza taratibu...alafu kuja kujijua too lte,
be carefull na wewe hii ni siri kutoka mbinguni asema bwana wa majeshi
muwe macho ndio maana nimekuwa nikitoa mada kuhusu ndoa sio kwamba natania yalinikuta kikweliii kabla ayajanianza nikaayamaliza so ukioa sio unaona tu mwanamke ana hela ama mwanaume ana hela mnashangili a maisha bora kwa kila mtanzania ujui amezipataje na kama amerithishwa tafuta background yao bbabayeke alizipataje mwanae akarithi usishangae mkweo wa kike aliuawa na baba mkwe sababu ya hizo mali akakosea na yeye akaenda leo mwanae karithi umeoa unashangilia tu zile damu zinanena ndio maana nimetoa wito mnaoooana jf natoa maombi ya bure kwenye simu pm kabla ujaumbuka
loh
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom