Umemlinda mumeo kivipi???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Kuna wamama wengi tumekuwa kimya sana na wengi wamekuwa kimya sababu
awataki kujua jukumu lao...baibo inasema wanawake watawalinda mumewe

wewe kama mke umemlindaje mumeo??ujawahi kukesha hata kumuombea mungu amuepushe
na zile small houses....anyway nisikupe desa msikate tamaa jitahdi kumuombea mumeo maombi
ni nguvu kubwa katika maisha yenu ya kila siku

mungu awabariki
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Pdidy kumbe wewe ni mwanamke? mi kila siku najua ni mwanaume...

Maajabu hayana mwisho,ukidhani unajua jinsia za watu JF utashangaa sana....mi Pdidy nilijua mwanaume tena mtu mzima....:washing:

Anyway, tutawaombea na wao wajitahidi basi ku-control viungo vyao vya uzazi jamani....Lol
 
Hapo kwenye blue inahusika kabisa....
 
Kuna wamama wengi tumekuwa kimya sana na wengi wamekuwa kimya sababu
awataki kujua jukumu lao...baibo inasema wanawake watawalinda mumewe

wewe kama mke umemlindaje mumeo??ujawahi kukesha hata kumuombea mungu amuepushe
na zile small houses....anyway nisikupe desa msikate tamaa jitahdi kumuombea mumeo maombi
ni nguvu kubwa katika maisha yenu ya kila siku

mungu awabariki

Naomba nisieleweke vibaya kila napaegemea upande wa kuwatetea mabinti lengo ni kuwa na gender balance katika mambo yetu, suala hili si la wanawake pekee kuwaombea waume zao hata wewe mwanaume vivyo hivyo unapaswa kumuobea na kumlinda mkeo, ni jukumu letu sote kuombeana jamani tuwapunguzie mzigo wa majukumu na lawama hawa mabinti jamani.
 
Kuna wamama wengi tumekuwa kimya sana na wengi wamekuwa kimya sababu
awataki kujua jukumu lao...baibo inasema wanawake watawalinda mumew

wewe kama mke umemlindaje mumeo??ujawahi kukesha hata kumuombea mungu amuepushe
na zile small houses....anyway nisikupe desa msikate tamaa jitahdi kumuombea mumeo maombi
ni nguvu kubwa katika maisha yenu ya kila siku

mungu awabariki

Hivi lile neno linalosema mume ampende mke wake kama Kristo alivyolipenda kanisa lenyewe halitoki kwenye Bible?Hivi kuna
jukumu zito kama hili?

Mbona majukumu ya mwanaume aliyopewa kwenye bible hamuyasemi yanasemwa ya mwanamke peke yake au mfumo dume mpaka kwenye mambo ya Mungu??
 
Kuna wamama wengi tumekuwa kimya sana na wengi wamekuwa kimya sababu
awataki kujua jukumu lao...baibo inasema wanawake watawalinda mumewe

wewe kama mke umemlindaje mumeo??ujawahi kukesha hata kumuombea mungu amuepushe
na zile small houses....anyway nisikupe desa msikate tamaa jitahdi kumuombea mumeo maombi
ni nguvu kubwa katika maisha yenu ya kila siku

mungu awabariki

Wanaume waache kutuzingua, kuna mambo wanafanya kwa uzembe kabisa na makusudi juu as if hawajui agizo la muumba!! Hii dhana mkiiendekeza kila kitu kumsema mwanamke tu na kumtupia kila zigo la mumewe.......hakyanani nyie wanaume mtatuozea kabisaaaa manake mnajisahau sana na istoshe kwenye mambo mengi ya ndoa mnajiexclude mnoo!!!
 
Change begins with them...control yourself then God will do his part!

Umesema kweli sister, kuna wanawake walokuwa wanakesha kuwaombea waume zao na hawakubadilika na small houses wakaziongeza kwa wingi!! Unaweza guess nini ilikuwa hatma ya hizo ndoana! Wanaume mifyagio sio kabisa!
 
Wanaume waache kutuzingua, kuna mambo wanafanya kwa uzembe kabisa na makusudi juu as if hawajui agizo la muumba!! Hii dhana mkiiendekeza kila kitu kumsema mwanamke tu na kumtupia kila zigo la mumewe.......hakyanani nyie wanaume mtatuozea kabisaaaa manake mnajisahau sana na istoshe kwenye mambo mengi ya ndoa mnajiexclude mnoo!!!

Punguza munkar ! Hata hivyo tomboka aste-aste !
 
Vipi hapa wanawake tu au..?

Hata wanaume pia wanahusika!!!! :eyebrows::eyebrows:
Huoni dunia ya leo imebadilika hata wanaume nao wanaolewa na wanaume wenzao. :smash:
kwa lugha nyepesi "(mashoga) wanawalinda waume zao kivipi??"

Wanaume waache kutuzingua, kuna mambo wanafanya kwa uzembe kabisa na makusudi juu as if hawajui agizo la muumba!! Hii dhana mkiiendekeza kila kitu kumsema mwanamke tu na kumtupia kila zigo la mumewe.......hakyanani nyie wanaume mtatuozea kabisaaaa manake mnajisahau sana na istoshe kwenye mambo mengi ya ndoa mnajiexclude mnoo!!!

Punguza munkar ! Hata hivyo tomboka aste-aste !
 
Wote tuombeane na tujiombee pia,kwan kila jambo la mafanikio linaanza na mtu binafsi,kwa kuwa na utayari na nia ya dhat ya kufikia mafanikio ya kulinda na kuiheshimu ndoa yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom