Umeme waua Muhimbil!!!!!!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Kuna tetesi kwamba watu watatu wamekufa Muhimbil baada ya umeme kukatika usiku wa leo, walikuwa wanapumulia mashine sasa nauliza hivi mgao wa umeme upo mpaka sehemu tete kama hizi? Jamani hii nchi sasa imefikia mahala pabaya:puke:.
 
My God! Nadhali utakuwa ni uzem,be wa hali ya juu maana tunaambiwa sehemu nyeti kama hizo hazikatiwi umeme... hata kama umeme ukikatika kwa sababu nyingine yeyote ile, sehemu kama Muhimbili wanatakiwa kuwa na standby generator ambalo halina mushkeli
 
.....kwani tatizo la umeme hapo muhimbili kuua limeanza leo?Tokea siku nyingi wengi wanakufa hapo ila hawasemi kwamba ni sababu ya umeme.Premature babies wanakufa sana hapo maana hao wanapumulia sana hizi mashine........hospital kubwa kama hiyo kwa nini hakuna standby generator? Hii nchi bana inabore sana.
 
Siku yangu leo ni mbaya sana nikifikiria mambo kama haya, yaani watu wanakufa kwa ajili ya Taifa lisilojali uhai wa watu!!!!!!!! eee Mungu tuhurumie
 
Ngoja nilie tuu maana uchungu wa kufiwa nyie acheni :A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
 
Back
Top Bottom