umeme wapatiwa dawa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888

Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna Masebo (katikati) akimkabidhi leseni ya uzalishaji wa umeme wa upepo, Mkurugenzi wa kampuni ya Wind EA, Rashid Shamte,wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kampuni hiyo imepewa leseni ya kuzalisha umeme wa upepo wa 100mw kwa kipindi cha miezi 30. mia

Kwani ni Megawatt ngapi zinahitajika kwenye Grid ya Taifa ili tatizo la umeme liishe kimoja?
 
HIzo MW 100 si za kupikia tu hizo, hiyo dawa dawa gani ndogo namna hiyooo ya KICHINA nini hahahahahaha
 
Hv Ngeleja kaachiaga ngazi? Hili la umeme sitaki hata kulisikia! Nimepita tu!
 
simbian wameongeza mw 60 tumepumua siku mbili tatu. hizo zikiongezeka si tutasahau kabisa? mia
 
Ngeleja amehakikishiwa na mkweree kuwa aendelee kudunda hakuna noma, hivi sasa yuko Uingereza akula bata na akirudi anakwenda kuchukua Mercedes Benz yake aliyoagiza kwa specification zake pale D.T dobie pugu road!! Nchi hii nzuri kwa mafisadi!!
 
There is no cure there bro! How many times have we heard such kind of rosy promises and contracts and they end up like IPTL,Songas,Dowans so I wont be shocked after that period nothing concrete will come out of it.
 
Here comes again Rostam Aziz. Huyu Shamte si ndo mojawapo wa watu walioinjinia ukwapuaji wa pesa za EPA kupitia Kagoda? Halafu wanasema jamaa hawa wako kwenye mbio za kufanya mazungumzo na TANESCO. Naona Richmond na Dowans zinaendela kurudi kwa njia nyingine. Eeeeeh MUNGU wa mbinguni tuepushe na hawa mafisadi.
 
leseni ndiyo umeme hawa watasema mapangaboy yaliku madogo kama walivyosema wenzao kuwa mabomba yalikuwa mado na yenye kutu HUIFAHAMU TZ NINI
 
Sure aisee mkaa bure si sawa na mtembea bure, walau hako kaumeme kakiongezwa hata sisi waTanganyika tutakuwa hewani, kwani sasa hivi ukijisahau tu kuchaji simu kwa kaumeme ka kubip inakuwa soo
 
sasa hapo umeme umepatiwa dawa kivipi?ina maana ndio mara ya kwanza unaona wanakabidhi leseni kwa wazalisha umeme?
kwa kuwa SERIKALI HAIONI MBALI ITAKUWA IKIHANGAIKA NA VI MIRADI VIDOGO VIDOGO BADALA YA KUFANYA MRADI MMOJA MKUBWA WA KUMALIZA TATIZO,TUMEISHIWA UWEZO
 
Here comes again Rostam Aziz. Huyu Shamte si ndo mojawapo wa watu walioinjinia ukwapuaji wa pesa za EPA kupitia Kagoda? Halafu wanasema jamaa hawa wako kwenye mbio za kufanya mazungumzo na TANESCO. Naona Richmond na Dowans zinaendela kurudi kwa njia nyingine. Eeeeeh MUNGU wa mbinguni tuepushe na hawa mafisadi.

Si ndio huyu huyu Shamte wa 6Telecoms na Push Mobile ambaye The Guardian ili trace toka kwake zile hate SMS za Udini (kuwa Chadema na CUF ni wadini)wakati wa 2010 Election Campaigns?
 
Ngeleja amehakikishiwa na mkweree kuwa aendelee kudunda hakuna noma, hivi sasa yuko Uingereza akula bata na akirudi anakwenda kuchukua Mercedes Benz yake aliyoagiza kwa specification zake pale D.T dobie pugu road!! Nchi hii nzuri kwa mafisadi!!
Hatuwezi kufika kwa mpango huu!
 
Si ndio huyu huyu Shamte wa 6Telecoms na Push Mobile ambaye The Guardian ili trace toka kwake zile hate SMS za Udini (kuwa Chadema na CUF ni wadini)wakati wa 2010 Election Campaigns?

Ndo huyohuyo mkuu. Ufisadi mwingine huo unakuja, yaani sijuwi hawa viongozi wetu wakoje. Lah, inatia hasira kwa kweli.
 
Back
Top Bottom