Umeme wakatwa moshi kisa m4c jangwani dar.

RC.

JF-Expert Member
May 24, 2012
444
41
:cool2: Wanajamvi sisi huku moshi wamekata umeme mida hii nahofia kutoutazama mkutano wa makamanda jangwani,naomba MAGAMBA wawe wastarabu kwani hawawezi kuzuia moto wa mbadiliko kwa hila za kitoto namna hii.TURUDISHIENI UMEME TUONE UKOMBOZI WA TAIFA LETU JANGWANI DAR.
 
Hakuna kama ccm viva sisiem, chama bora,,,, mnapenda majungu sana wanajf
 
:cool2: Wanajamvi sisi huku
moshi wamekata umeme mida hii nahofia kutoutazama mkutano wa makamanda
jangwani,naomba MAGAMBA wawe wastarabu kwani hawawezi kuzuia moto wa
mbadiliko kwa hila za kitoto namna hii.TURUDISHIENI UMEME TUONE UKOMBOZI
WA TAIFA LETU JANGWANI DAR.

mbona mapema? ungeuliza emergency tanesco ujue tatizo hasa!
 
mawazo mgando huzaa maendeleo chakavu.km tanesco wanamarekebisho waache kwasababu cdm mna mkutano.km umekosa uzi wa kutupia katafute kaz za kukuingizia kipato.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom