UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

Status
Not open for further replies.
Hiyo ni failure ya TFF maana walitakiwa waibane serikali iweke standby generator ndo watumie uwanja huo coz uwanja unapata mgawo mkubwa kutokana na mapato ya mlangoni.
 
Kazi kwa ngeleja aibu yako hii na ndugu yako Janualy makamba

Dwork1, kwa nini sio aibu kwa Kikwete aliyemtetea Ngeleja juzi sabasaba? Hakuna haja ya kuzunguka mbuyu, hii ni aibu kwa taifa tukianza na mkuu wa nchi!!!! Any wanasubiri maombi ili mvua inyeshe Bwawa la Mtera lijae maji!!!!! Hapo ndio mwisho wao wa kufikiri basi!!!!

Tiba
 
Unafikiri kuna wa kujiuzulu? Umeshaambiwa kuwa hili ni janga la kitaifa na hawa wanafiki. Tunatakiwa tufanye maandamano tuing'oe hii serikali watupe nchi yetu, hawawezi kila siku watuchezee kama vile malaya.............................ngoja kwanza nisiendelee maana nitaandika vitu vingine visivyo...............nina hasira.................f u c k
A friend of my enemy is my enemy too! tap tap tap tap tap
 
Mmeshaambiwa ni janga la Kitaifa.

Mwashangaa nini umeme kuzimika UWT? Nchi inaongozwa na majuha watupu kuanzia Kiwete,Ngeleja mpaka Mibunge fake ya Chama Cha Majambzi/Magamba. Iwapo Mibunge Mizee kama Wassira inalala na kukoroma Bungeni mpaka linatoka udenda unatagemea nini????Saa ngapi atazungumzia umeme wa mgawo????

Think about majiitu yamekaa Bungeni yanakalia kujadilli 'The Posho' badala ya kujadili Janga la Kitaifa-Umeme!

Bado tunataka kujua ile mitambo ya Dowans(Now SYMBION) iliyosifiwa sana na Mama Clinton inazalisha MW ngapi kwa siku?

Ngeleja tell us.......???????...........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Grid ya taifa ina faida gani? nmasikia ni nchi chache sana duniani, hazifiki hata tano ambazo zina gridi ya taifa, ikiwemo India. Nadhani gridi ya taifa ndiyo inaleta matatizo kwani lazima ijae umeme kiwango kinachotakiwa ili iwashe mikoa yote iliyounganishwa nayo.

Iwapo tungeachana na gridi na serikali ikakoncentrate kila sehemu ya nchi kuwa na vianzo vyake vya nishati, nadhani mambo yasingekuwa hiv
i. Gridi ya taifa imeibwetesha serikali katika azma hiyo.

Mie nadhanai nakubaliana nawe Marksman -- kuna ka-ukweli katika unachokisema. Gridi ya taifa ivunjwe mara moja.
 
Aibu kubwa sana hapa uwanjani. Nimeshaibiwa camera yangu,

Hakika hii ni aibu kubwa kwa TFF na Taifa kijumla

a BARU TFF HAWAHUSIKI NA MAMBO YA UMEME UWANJANI PALE. AIBU KWA TFF INAKUJA SABABU NDIO ILIYOANDAA EVENT. INGEKUWA COLOMBIA NGELE ANGEKUWA KASHAKULA SHABA ZAMANI.
 
Now najiuliza lakini sipati jibu. Hivi ingekuwaje kama umeme ungekatika pindi tu kichwa cha goli kilipopigwa? Uwanjani Kungekalika kweli?
 
Umeme umekatka uwanja wa taifa, kombe bado halitatolewa

Dah, tena Super Sport 9 ilikuwa live aisee, watangazaji wanasema inakuwaje pesa zinazopatikana kama mapato ya uwanja zisifinance standby power hapo uwanjani, kwa kifupi SS9 wameponda sana, na surely italeta impact kubwa sana katika kuvutia uwekezaji aisee. Huu ufisadi uliofugwa ushasababisha KIYAMA kwa Tanganyika kabla ya pahala popote duniyani. SAAAAAAAAAAAAAAAAFI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom