Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
kwani serikali ya CCM ilishaukabizi uwanja kwa kampuni ya kuuendesha..Uongozi wa uwanja wa Taifa ni mbovu kabisa, generator zipo, zilikuwa hazina mafuta! can you believe it?
kwani serikali ya CCM ilishaukabizi uwanja kwa kampuni ya kuuendesha..Uongozi wa uwanja wa Taifa ni mbovu kabisa, generator zipo, zilikuwa hazina mafuta! can you believe it?
Ahsantum . Nimekuja Zanzibar toke ijumaa tano taarih 6 Jly kuhudhuria harusi ya Member mwenzetu humu JF Engineer Hosam M Hafif huko unguja ambapo ilifanyika ijumaa na leo ijumaa pili ndio nimekuja dar kuangalia hii fainali na kesho inshallah nakwenda Mwanza kwa siku mbili na ijumaa tano naondoka kurudi Doha.
hakika mpira ulikuwa mzuri sana ingawa timu zote zilikesha kubutua kubutua lakin ndio hivyo tena mshindi kapatikana japo umeme ulizimwa wakti akimchukua mwali wake.
Ni aibu lakini hongera watani wetu Young.
Uongozi wa uwanja wa Taifa ni mbovu kabisa, generator zipo, zilikuwa hazina mafuta! can you believe it?
Yap.....Ilitokea wakati wa AFCON ya 2000 ama 2002 kama sikosei.....
Umeme ulikatika na mpira uliendelea baada ya dakika 20....
Hata wakati wa mashindano ya Klabu bingwa Africa ishawahi tokea hii....Lakini umeme ulirudi baada ya muda na mpira kuendelea
Mgao wa umeme itakuwa historia!tunataka kufanya umeme wa uhakika ili tuuzie na nchi jirani!crap hands to his excellence!aibu sana kwa watanzania na africa kwa ujumla
Ni kweli kabisa wawajibike TFF au hao CECAFA, ratiba ya mgao inajulikana...you know u have a big game! And u don't care for things like generators wakati hata kama hamko kwenye ratiba ya mgao nchi unajua iko katika mgaowatu makini lazima wawe na plan B!Hapana mkuu....Viwanja vya wenzetu huwa vinakuwa na standby generators ambazo huwaka mara umeme unapokatika.....ikata matangazo TFF,CECAFA na uongozi wa uwanja walipaswa kuweka tahadhari ya umeme kabla ya mchezo badala ya kutegemea zaidi umeme wa TANESCO.....Ni aibu kusikia kwamba generator za uwanjani hazikuwa na mafuta......Hii ni aibu.....Thank God Super Sport walikata matangazo mara baada ya mpira kiusha na kuanza kuonesha Ligi kuu ya Kenya...
Safi sana ngeleja. kwan wewe hukwenda na mshumaa wa tahadhariInasikitisha sana inamaana serikali haioni umuhimu wa mechi hii au alioko zamu tanesko ni mshabiki wa simba!
Hii ni inabidi iandikwe kwenye vitabu vya kumbukumbu ili siku moja waje wakumbushie kuwa JE WAJUA NCHI ILIYOONGOZA KWA UMEME WAKE KUKATIKA WAKATI MPIRA UNACHEZWA NA ZIADI YA MASHABIKI 60000 WAKIANGALIA????
Ni aibu. Supersports 9 ilikuwa ikiangaliwa na mamilioni ya watu Afrika na Dunia ki ujumla. It was a very good tourism advertising strategy!. Baada ya tukio hilo la aibu ss9 waliamua kuweka mechi kati ya Mathare utd na City utd kwa kutuona wa tz wajinga na tunashindwa kujipanga kutumia opportunity kama hizi. Tusubiri tuwe tunalalamika tu kwamba wakenya wanautangaza mlima Kilimanjaro wakwao na babu wa kikombe Samunge wa kwao! Shame on us!Nimesikitika sana. Mpaka ss9 wamekata matangazo
Ndugu yangu nimeangalia kwa haraka nchi zote zilizopigana vita zinaendeshwa kwa misingi, viongozi wao wanafataNchi hii bila kupigana hatutapata akili
Mkuu hongera sanaYap.....Ilitokea wakati wa AFCON ya 2008.
Power failure at CAN stadium explained | Sports News 2008-01-22
Hata wakati wa mashindano ya Klabu bingwa Africa ishawahi tokea hii....Lakini umeme ulirudi baada ya muda na mpira kuendelea