UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

Status
Not open for further replies.
Uongozi wa uwanja wa Taifa ni mbovu kabisa, generator zipo, zilikuwa hazina mafuta! can you believe it?
Kama kweli kuna generator basi itakuwa ilishabinafsishwa na viongozi wa huo uwanja au tff,sitaki kuamini kwamba ishu ni mafuta..
 
Tanesco naona haachi asili yake!ila atakuwa mshabiki wa simba kashikwa na hasira
 
ngeleja akitaka kujifutia lawama zote za nyuma ajiuzulu sasa. ni wakati muafaka mno!
 
cha kushangaza mechi hii ilikua inaonyeshwalive kwenye supar sport dunianzima imeona madudu ya ccm
 
Uongozi wa uwanja wa Taifa ni mbovu kabisa, generator zipo, zilikuwa hazina mafuta! can you believe it?

Wewe chizi nini angalia chanzo nini na siyo kukimbilia generator,,,wakati umeme uliokuwa unawaka
ni wa TANESCO,, acha upuuzi wakati ukweli unajulikana...
 
Tatioz si tanesco,aibu ni kwa uwanja na wahusika kutokuwa na standby generator!
 
Bado najiuliza maswali tena magumu, je kama ndo zingekuwa zimebaki dakika 20 ili mpira uishe ingekuwaje, ama kweli hii nci haina viongozi kabisa.. Hiii ni aibu dunia nzima kwani ss4 na ss9 zinaonekana dunia nzima,
Au ingekuwa wakati wa mikwaju ya penati.......
 
Umeme umekatka uwanja wa taifa, kombe bado halitatolewa

Hilo mtajua wenyewe, sisi huku tunapeta.

Oh! nyinyi mna deni!

Sisi hatuna deni, imetolewa kama rushwa kwa viongozi wetu ili wasikubali "muungano" kuvunjika.

Sasa endeleeni kutung'ang'ania tu mkione.
 
Najua Ngeleja kujiuzulu hawezi maana asiyejua Ngeleja na migodi ya Barrick kipind cha nyuma alikuwa nani ndoo maana
unaweza sema ajiuzulu ila kiukweli siku akitoka ndani ya hii wizara kila kitu kitajulikana kuhusu Barrick,,,fanya utafiti mkubwa ndo utajua kwanini JK hamuajibishi ili awe mbali na hii wizara ya madini,, au hujui sasa hivi Ridhiwani Kikwete ni nani ndani ya Barrick??? fanya utafiti utajua kila kitu,,,
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom