Wana Jf sijawahi sikia umeme kukatika uwanja wa mpira usiku!!JEE hakuna generator standby?mamilions ya pesa wanapata kila siku wanapeleka wapi?hiii ni aibu kwa CCM na serikali yake!!!Aibu kubwa sana!!!!Waafrika tunatia aibu isyoeelezeka.Au mpaka wachina watuletee umeme?
Inasikitisha , inatia kichefuchefu, siku kuu ya fainali ya kagame leo uwanja wa taifa umeme unakatika! africa na ulimwengu ukishuhudia matangazo ya supersport. na bado sera ya ccm ni kuendeleza michezo, kweli ccm ipo makini?na wewe waziri ngeleja ulishindwa hata kufunika aibu ya mwenzako waziri wa michezo bwana nchimbi akiwa kama mgeni rasmi hata kombe alikuwa hajakabidhi alafu umeme unakatika , hee! ungefanya kama mnavyolindana huko bungeni kuua hoja za wapinzani!!!
Jamani, kweli nyinyi ni wezi!!! wana JF mimi imeniuma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.