Umeme wakatika tena sehemu kubwa ya nchi?

Kuchomoka kwa gridi ya taifa kivipi?jidadavue basi usije kwa kukurupuka na je umefanya reseach kweli na kugundua muda huu nchi nzima haina umeme?usije kiporojo zaidi njoo kwa fact mkubwa.

Kama una ndugu au jamaa katika mikoa tofauti na huo uliopo wewe waulize. Kwani hapo ulipo umeme upo?
 
nimeongea na mtu yupo tarakea anasema umeme hakuna!sie wa dar tushajizoelea!ngoja nkapate tusker baridiiiii nipunguze stress manake ukiwaza sana unaweza kupata kisukari ukafa kabla ya siku zako!
 
Hospitali ya taifa MNH huwa mgao hakuna lakini kwa sasa, umeme umekatika! Nadhani ni issue ya National grid.
 
hyo ni live bila chenga.. kweli tanesco ni shirika la kugawa umeme.. namaanisha KUGAWA HASWA
 
Kama Watanzania hatutaamka na kutaka mabadiliko ya kweli katika ngazi za juu za uongozi wa Taifa letu haraka iwezekanavyo hawa mataahira (I am very sorry to say so) wataendelea kuifanya nchi yetu kichwa cha mwendawazimu kwa miaka mingi ijayo. Halafu ikishadidimia kabisa katika kila kitu tutabaki tunajiuliza hivi tulikuwa wapi wakati wale wasanii walipokuwa wanaiharibu nchi yetu?
 
nimeongea na mtu yupo tarakea anasema umeme hakuna!sie wa dar tushajizoelea!ngoja nkapate tusker baridiiiii nipunguze stress manake ukiwaza sana unaweza kupata kisukari ukafa kabla ya siku zako!
pole sana mkuu nami ngoja nikajivue gamba pale ndassa club.
 
Nipo Chalinze kilomita kama 15 along segera road kuna jumba kuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuubwa kuliko majumba yote jimbo la chalinze, hapa panaitwa msoga, , umeme UNAWAKA
 
No waay!Watanzania kweli ni wavumlivu.Usingizi waliomo ni mzito sijui wataamka lini.
 
Ingekua kweli isingekua breaking news, maana kukatika umeme haiwezi kuwa breaking news, ni jambo ambalo kila mtumia umeme analigundua papo hapo.
 
Hapa Dar mitaa ya Kipata umeshanyakuliwa sijui wameurudisha magambani.

Kwa waheshimiwa hawa lolote laweza kutokea.
 
Kwenye hesabu za makadirio 9.7 huwa ni sawa na 10,sasa kama kuna sehemu kubwa haina umeme alafu Arusha na maeneo mengine machache yana umeme tunaweza kuashumu kuwa nchi nzima iko gizani,nikiongea haya hata hapa Tabora umeme umekatika mda si mrefu...hii nchi inanuka uhozo wa viongozi,ni miujiza tu ndo itatutoa hapa tulipo
 
Tueleze je ni nini kimetokea ili sisi tunaotegemea umeme kurudi usiku tusahau.
 
Back
Top Bottom