nimezungumzia inshu ya uchawi,nani kagusia umeme???Sasa hicho kichwa cha mbuzi kinasababishaje kukatika kwa umeme.
Inawezekana ipo lakini si unajua nchi yetu utaambiwa ilikua haina diesel au mhusika kanywea fungu lakeKwani Bunge halina standby DEG? I mean Deasel engine generator?
Watanzania kwa majibu mepesi mepesi una ubia na Kikwete nini maana yeye alisema siyo mawingu ya mvua anyeshe maji yajae.
Tujaribu kuwa critical kidogo kwenye mambo ya msingi vinginevyo hatutaendelea milele.
Ndiyo tunajua tanzania yote iko kwenye tatizo la umeme lakini mahitaji na matumizi yake yanatofautiana huwezi kulinganisha madhara ya kukosa umeme hospitalini na kwenye bar kwa vile wote waliomo ni wananchi walewale. Jiulize kwanini waziri wa michezo aliomba radhi kukatika kwa umeme wakati wa mashindano ya Kagame na kwa nini wasiombe radhi kukatika kwa umeme jana Bunju au Kibaha kwa Mathias.