Umeme wakata uwanjani Ghana, mchezo wavunjika.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Ni mechi ya kwanza ya Kundi D katika michezo ya kufuzu Kombe la Dunia 2014 kati ya Ghana na Lesotho, inayoendelea katika uwanja wa Baba Yara mjini Kumasi ambayo imevunjika kutokana na kuzimika kwa taa za uwanjani, chanzo cha kuzimika kwa taa hakikufahamika mara moja ingawa inadhaniwa kuwa hitilafu ya umeme.
Mchezo huo ulikuwa katika dakika ya 50, na Ghana ikiongoza kwa goli 4 bila, mabao yaliyofungwa na Suley Muntari, Dominic Adiyah (2) na Jordan Ayew.
 
huu ungeleja kumbe ni afrika nzima mi nlijua bongo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom