Umeme wa upepo

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
169
Salamu za Sikukuu ya Noel na Mwaka Mpya.

Leo nimesoma habari njema katika gazeti la Mwanachi kuwa Tanzania nimeingia ubia na kampuni ya Power Pool Africa ili kuingiza umeme wa Upepo katika grid ya Taifa. Na gharma yake ni Bilioni 180 tu.

Hakika mradi huu umechelewa sana kuingia katika Taifa letu kwa sababu kuna maeneo mengi mno unaposafiri unaambiwa funga madiri ya gari sasabu ya Upepo. Ninaomba tutumia nguvu zetu zote kuhimiza mradi huu. Unawezekana na hatutapata shida kama ya maji kukauka au kukosa umeme kuendesha majenerata. La msingi wawekezaji WASANII NA MAFISADI wasipate nafasi. Hakika tutaweza kujikwamu.

Gharama iliyotajwa ni ndogo mno, maana ni pungufu ya fedha zilizoliwa kifisadi au inazodaiwa Tanesco.

Tuhimizi mradi huu kwa nguvu zetu zote

naomba kuwakilisha
 
Back
Top Bottom