umeme wa jua kutoka baraka solar specialist

innommasi

Member
Jul 8, 2010
7
0
baraka solar specialist ni private company ambayo inajihusisha na maswala ya umeme wa jua,ukizingatia asilimia kubwa ya nchi yetu haijafikiwa na umeme wa grid ya taifa hivo tumeona sio vibaya tukishiriki kwenye suala zima la kuhakikisha umeme unapatikana maeneo yote ambayo hakuna huduma hii,tunawakaribisha wote mlio na hitaji ya umeme wa jua kwa bei nafuu na ya uhakika.mawasiliana+255765565853,uliza innocenti mmasi
 
Bei nafuu ni ipi? Unaweza kutoa hata rough estimates? Mnauza panels na kufanya installation? Kama mtu anataka na betri mnaweza kumuuzia na kumfungia? kwa gharama gani? Mnaunganisha kwenye grid ya taifa au mnafanya kwa self contained units? Panels zenu ni za aina na ukubwa gani? Betri je? Ofisi zenu ziko wapi?
 
hapo kwenye blue nimecheka sana. To me I would prefer wind electric generating kuliko solar kwani solar ni expensive kuliko wind. to be able to run a 3 bedroom house full electrical solared hata kwa kupikia na mambo yote kama vile uko connected na Tanesco ni zaidi ya tsh 10ml lakini windmill is around 1.5 -3ml.

Kuna mangi mmoja anazo pale opposite EPZA his contact is

Mchau windmill Enterprise
Box 19172 Mandela Road, Ubungo External. DSM
0712507214
Att. Mr Mchau
 
Windmilly energy sio dependable kwa maeneo ambayo hayapati wind vya kutosha unaweza ukakosa umeme unaotosheleza vile vile sio salama kwa mazingira na hata kwa viumbe hai ikiwemo binadamu.ukiijaribu kufuatilia nchi ambazo wanatumia windmills.utakuta ziko mbali na makazi ya watu na ukanda ambao sio wa viumbe.sasa je kwa hapa kwetu ukiangalia soko je windmill utaifunga wapi?
 
hapo kwenye blue nimecheka sana. To me I would prefer wind electric generating kuliko solar kwani solar ni expensive kuliko wind. to be able to run a 3 bedroom house full electrical solared hata kwa kupikia na mambo yote kama vile uko connected na Tanesco ni zaidi ya tsh 10ml lakini windmill is around 1.5 -3ml.

Kuna mangi mmoja anazo pale opposite EPZA his contact is

Mchau windmill Enterprise
Box 19172 Mandela Road, Ubungo External. DSM
0712507214
Att. Mr Mchau

Ukisikia uchawi ndio huu wako. Wewe kama una biashara ya wind generator anzisha uzi wako, weka vielelezo na anuani yako lkn sio kurukia thread za wenzako. Au mpaka uone kichaka ndio mavi yanakubana? By the way, huyu mwenyewe hajataja bei, tayari umerukia na kutuambia ni 10m, we umejuaje kama sio keherehere?
 
Ni kweli kabisa sio uungwana huu,anzisha uzi wako uweke unachotaka kuweka!kudandia wazo la mwenzako wakati nafasi ni bure sijui itachukuliwaje!!
 
Ni kweli kabisa sio uungwana huu,anzisha uzi wako uweke unachotaka kuweka!kudandia wazo la mwenzako wakati nafasi ni bure sijui itachukuliwaje!!

Licha ya kuwa amerukia, lakini nimependa mchango wake. Hajatumia busara lakini hata wewe unayekosoa chagua lugha nzuri, wote ni watz!
 
Back
Top Bottom