Umeme unakatika Bungeni sasa hivi

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
ktk dakika ya 6 na 12 ya saa mbili usiku huu nimeona TBC wakionyesha Mhs. Mnyika akiongea gizani. Kisha taa zikawaka. Baadaye tena msemaji aliyefutia wakati anachangia mada umeme ukakatika tena.
 
nchi ndo isha mshinda jk, yeye yupo zake sauzi anaangalia kamera za barabarani tu na jinsi ya kucheza kwaito..
 
Acha wakate ili wazee watafakali vizuri :

168961_1710523515240_1002663929_31632678_6311328_n.jpg


attachment.php
 
Back
Top Bottom