Umeme umekuwa siasa?

TOWNSEND

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,598
460
ni juzi tu wzr wa giza alisema megawat zimeongezeka kwenye grid ila cha ajabu mimi nipo sengerema toka juzi umeme unakatika na kurudi kama taa za disco kilicho nisukuma kuandika hili ni kutaka kujua ni nchi nzima au ni huku tuuu.....yule mdada wa tannesco hawaja sema lolote
 
Mh mbona imekuchukua muda mrefu kujua kwamba umeme ni politics?mi niko mtwara huku haukatiki, mi nadhani ni kwenu tu sengerema huko!!
 
Naona sasa wameamua wawe wanazima kwa maeneo kwa muda mrefu (siku)na sio masaa tena kwani itakuwa rahisi kidogo kueleweka wakisingizia matransfoma yanayohudumia eneo husika yameungua.
 
serikali ya JK is soooooo booooring sijui anaweza nini huyu mtu kazi kuoa tuuuu..
 
ni juzi tu wzr wa giza alisema megawat zimeongezeka kwenye grid ila cha ajabu mimi nipo sengerema toka juzi umeme unakatika na kurudi kama taa za disco kilicho nisukuma kuandika hili ni kutaka kujua ni nchi nzima au ni huku tuuu.....yule mdada wa tannesco hawaja sema lolote

co kwenu 2 hata huku kwe2 wanakata hivyo hivyo(kimara-dar) hata leo hii wameshakata mara1 na kurudisha.
 
NaJIULZA SANA,hIVI NI HASARA KIAWI GANI TUNAPATA KWA AJILI YAUKOSEFU WA UMEME,JE NI WATU WANGAPI WANAPOTEZA MAISHA MAHOSIPATALINI KWA AJILI YA UKOSEFU WA UMEME,JE NI WANGAPI WAMEPOTEZA AJIRA ZAO KWA AJILI YA MGAO WA UMEME!UMEME TANZANIA NI ZAIDI YA SIASA!NAHISI NI MALI YA MTU BINAFSI ANAYEWEZA FANYAANAVYOTAKA YEYE!
 
Tafsiri rahisi ya siasa ni kufikisha huduma muhimu kwa jamii. Huduma hizo ni afya, elimu, umeme, barabara, maji, nk. Ndio maana wakati wa kampeni wanasiasa wetu hujinadi jinsi gani watashughulikia masuala hayo. Kwa hiyo basi Bw TOWNSEND - Umeme ni siasa, sio jana sio leo - ni siku zote. Shida ni siasa gani? - 'Siasa porojo', kama walizopigiwa watu wa Igunga au 'Siasa maslahi kwa watu' kama wanavyonufaika watu wa Karatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom