Umeme umekatika nchi nzima?

Majira ya saa sita kasoro usiku maeneo ya hapa k'ndon mkwajun umeme ulikatika,m2 wa mwananyamala akanambia kwake pia umekatika,pia kuna m2 huko moro kasema umekatika,je hapo ulipo wewe umeme upo kwa usiku huu?

Maeneo ya Mbagala umekatika mara tano kwa usiku mmoja na asubuhi ukakatika tena halafu ukarudi; kisha ukakatika tena! Sijui yalikuwa matengenezo au ndiyo mgao unavyoenda!
 
ulikatika na JK alikuwa kwenye fundraising Mlimani city na watu wa TANESCO walikuwepo kwenye hiyo fundraising, JK akawaambia WAZEE WA MGAO MPOOOOO. Wakaona aibu wakatoka nje. Baadae wakawasha jenereta.
 
Hata njombe pia ulikatika. A need for explanation on this,pliz responsible ones come out
 
Du...! Mwanza umekatika jana saa sita usiku hadi mida hii hatujauona. Kuna mwenye feedback atujuze tatizo ni nini?
 
Wilaya mbozi magharibi umekatika majira saa tano asubuh bado haujaludi hii ndio TANZAGIZA
 
Huku kwetu segerea umeshakatika mara ya tatu sasa haukai dk 10,unakata
 
Back
Top Bottom