Umeme umekatika nchi nzima?

Ni kweli Bajabiri hapa Dom muda huo huo ulikatika kama mara tatu tofauti mida ya saa sita usiku
 
uku bukoba kama tuko ulaya, hatujui dowans wala richmond! ful umeme mwanzo mwisho toka uganda. uganda oyeeee! mseveni oyee.
 
najua kwanini walikata. mkw.ere alikuwa anatoka mlimani city kuelekea magogoni usiku ule!
 
uku bukoba kama tuko ulaya, hatujui dowans wala richmond! ful umeme mwanzo mwisho toka uganda. uganda oyeeee! mseveni oyee.


....aiseee, nimekumbuka sana bukoba. Nimekaa pale kwa muda wa wiki mbili nilifurahia saaana hali ya umeme. Kwa vile umeme pale ni wa uhakika si ajabu ndugu yangu Nshomile anafananisha na Ulaya!
 
najua kwanini walikata. mkw.ere alikuwa anatoka mlimani city kuelekea magogoni usiku ule!

alienda kuangalia cinema za zantel?ndo ukatwe nchi nzima?frm there hadi mag0g0n ni how long it took?
 
Majira ya saa sita kasoro usiku maeneo ya hapa k'ndon mkwajun umeme ulikatika,m2 wa mwananyamala akanambia kwake pia umekatika,pia kuna m2 huko moro kasema umekatika,je hapo ulipo wewe umeme upo kwa usiku huu?

Bj muda huo nilikuwa,nilikuwa ubungo mataa,palisikika kitu kama sauti ya mlipuko hivi kutoka pale mitambo ya kuzalisha umeme,ndio ghafla 2kaona umeme umekatika..i think wahusika wanamaelezo zaidi.ila jinsi palivyo kwa ule mvuke wa gesi unaotoka pale nadhan ipo siku patakuwa hapatoshi coz inawezekana m2 kurusha kipisi cha sigara pakawaka kwan the area is so crowded ok ni mtazamo tu."
 
Hata Upanga ulikatika tukawasha genereta,nimemuuliza demu wangu anakaa Mbagala ananiambia hadi mida h saa sita mchana bado
 
Back
Top Bottom