Umeme: TANESCO yatahadharisha kuwapo kwa mgao!

Uliweza kufika kwenye zile kurasa? Jaribu kubadilisha browser. Kama unatumia Internet Explorer labda jaribu Mozilla
 
Du! Hili game! Hili game! Hili game la kibongo bongo hili! By all means ufisadi, by any name ufisadi!
 
Kama Tanesco ikiweza kuzalisha umeme wake kisha kina Rostam Azizi watakula wapi na richmonduli yao?

jamani kununua mtambo mpya wa 100 MW ni usd$40,000,000.00 na Tanzania tunaitaji kuongeza MW 500 ambazo ni sawa na $200,000,000.00. Dili la richmond lilikuwa $172,000,000.00 kwa kukodisha mtambo mmoja wa 100MW kwa miaka mitatu. Ina maana Tanzania tunakosa hizo $200,000,000.00 kuweza kununua mashine zetu wenyewe za kutumia natural gas tuliyozawadiwa na mwenyezi Mungu.

Kuna tatizo la low IQ za viongozi tu hapo si kitu kingine.
 
Katika hali iliyowashangaza wabunge waliohudhuria mkutano huo, Dk. Rashid alisema Tanesco inanunua nguzo kutoka Afrika kusini na India kwa kuwa zinauzwa bei rahisi kuliko zinazotoka Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.

Wadau hii jamani imekaaje au ndio yale yale tunayopigania siku zote Je anaweza kupprove hiki kitu
 
Watanzania wote mlioko huko nje nchi imefika mahali pake sasa ...yale matatizo yalitokea kuleta kampuni ya majambazi richmond ...hivi leo tunaanza tena mgao ambao kwa kudra za mwenye mungu hautaturudisha tena kuona richmond nyingine ikianzishwa;;nawatakia kila la kheri watanzania wote watakaoathirika na mgao huu\
tunaomba msitutende hivi wakati wa sikukuu ya idd

idd njema
 
Mkuu lowasa mambo yameiva kufa kufaana mgao umeanza the earlier the better wahi baba !!!!!!ufisadi ule unaotoka si unaoingia'
kila la kheri
x-pm
 
....not again...!! aaaah jamani acheni hizoo........watu hata aibu hamna!!!
Tulia mkuu, watu washaanza kuyaonja machungu ya mgao huu. Nchi nzima mkuu.

Wachonga 'deals' nao hawako nyuma, mipango ishaanza kusukwa. Wengi wa walio Bongo hamtowaona online kwa muda mrefu hapa JF. Labda kieleweke mapema.

Oh Tanzania...!
 
Nikisema Ndivyo Tulivyo mnanifokea.....

Ukweli unauma,
Unajua mtu mzima hasemi kila jambo, mengine ya aibu huyaweka moyoni.
Kama hili, tulifanyie kazi jamani tunajipaka matope huku tunaangalia!!

Kweli ndivyo tulivyo
 
Another power crisis as Songas turbines collapse
25.09.2008 @00:13 EAT
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN

Tanesco yesterday announced new power rationing that will see industries and homes countrywide without electricity for five hours every day, following a major breakdown in generation.

In a statement issued in Dar es Salaam last night, Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) said electricity supply would be disconnected daily from 6pm to 11pm.

The power firm has been plunged into a crisis after three turbines at the Songas power station in Ubungo, Dar es Salaam, which produce 110MW of power, suddenly collapsed.

Tanesco Managing Director Idris Rashidi told The Citizen that the rationing would continue until General Electric experts fix the problem and restore power generation by Songas.

Songas spokesman Reuben Mwaikinda said General Electric, the suppliers of the turbines, had advised the company to shut down the station for the experts to establish the extent of the damage.

He said they would be in a better position to give concrete information by the end of the week.

Dr Rashidi also said Tanesco would come up with contingency plans in generation after assessing the situation within the next few days.

He was responding to a question as to whether the company would once again consider engaging the Dowans and IPTL private power plants to supply emergency power to bridge the shortage.

The state firm recently cancelled contracts for emergency power supply with the two companies, following controversy over the manner in which the agreements were reached and the huge payments they got in capacity charges, even when they were not producing any power.

Yesterday, Dr Rashidi said by telephone: "For now, we cannot say much. We expect to get the details tomorrow (today) before making any further decisions."
According to the press statement issued by Tanesco�s spokesperson, Ms Badra Masoud, the three turbines at Songas suddenly collapsed yesterday.

"The collapse of the turbines has caused a loss of 110MW in electricity generation, which accounts for 16 per cent of peak demand," she said.

The company said an attempt to remedy the situation had failed, as a combination of its hydropower and natural gas sources still fell short by 40MW.

The rationing, Ms Masoud said, would cover the whole country. A comprehensive timetable is expected to be issued today. Last evening, Dar es Salaam, the country's main production and manufacturing hub, was spared the rationing, but will be affected as the full programme starts.

This will rekindle the bitter memories of the prolonged rationing between 2006 and 2007 that saw the country suffer one of its worst power shortage crises ever.

Then, falling water levels in the hydroelectric dams were blamed for the almost day and night-long rationing that adversely affected industries and homes in the whole country.

The breakdown at Songas may take more than a month to repair, if the experience of 2006 is anything to go by.

It was during the 2006 power crisis that the now infamous Richmond 100MW emergency power contract for $172.9 million was initiated.

Controversy over the deal later snowballed into a corruption scandal that led to the resignation of Mr Edward Lowassa as Prime Minister. It also cost the jobs of former ministers Nazir Karamagi (Energy and Minerals) and Dr Ibrahim Msabaha (East African Co-operation).

The Government has since terminated the contract of Dowans, the company that inherited the tainted Richmond contact. This followed a report of the parliamentary select committee, which found that Richmond was a briefcase outfit, which could not execute the multimillion-shilling emergency power generation project, it had been fraudulently awarded.
 
Halafu tukiona investors wa maana hawaji kuwekeza nchini mwetu ila wababaishaji tunashangaa. Investor gani serious anaweza kuja kuwekeza kwenye mazingira kama haya umeme hakuna, maji ya shida tena hata hapo commercial city Dar es salaam achilia mbali huko mikoani.


Halafu ukiangalia habari kama hii hapa chini unashangaa kuwa tunapanga mipango mikubwa lakini ile basic kwa ajili kuhahakisha kuwa faida za mipango mikubwa zinakuwa harnessed ni zero. Planning for power ni muhimu kwa kila sector sijui kama hilo serikali inalijua.

Author; By: DailyNews Reporter
Tuesday, June 17, 2008
Source; : DailyNews


The Government will spend 170million US dollars (about 204bn/-) for construction of the National Information and Communication Technology (ICT) Infrastructure Backbone to link up all district and regional headquarters by December 2010, the National Assembly was told here yesterday.

 
Back
Top Bottom