Umeme ni nani anashughulikia? Raisi, W.Mkuu, Director wa Tanesco, Kamati ya Bunge, WZ Nishati?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,550
8,636
Mbona sijui nani mwenye uamuzi wa mwisho kwenye hili swala je ni Raisi, Waziri mkuu, kamati ya bunge, mkurugenzi na board ya Tanesco au waziri wa nishati. Hakuna uongozi unaoeleweka ni kila mtu anasema anachotaka na hatujui ni nani ana responsibility. Kama serikali haisemi ni nani anafanya uamuzi hakutakuwa na uamuzi bali maneno nenda rudi??!!!
 
Nilisema 2011
 
Hao wote uliowataja wapo serikalini wanafanya kazi kama team moja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom