Umeme!!!!!! Mahabusu watoroka kituoni magomeni

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
wakuu, kuna taarifa kuwa mnamo tarehe 8 august 2011 majira ya saa mbili mbili usiku katika kituo cha polisi magomeni umeme ulikatika, kuna mahabusu aliletewa chakula, kituoni palikuwa na polisi wa kike tu, wawili, akisha pokea chakula alienda kufungua lango la mahabusu ili amtoe muhusika apate kula, alipomalizia kufungua komeo, mahabusu walivamia lango na kumkumba nalo wp, alianguka chini, chakula kikatawanyika, mahabusu 16 kwa escaping velocity wakatokomea gizani wakimpita wp counter asijue la kufanya, haijaweza kufahamika mara moja askari polisi wanaume walikuwa wapi hadi kituo kikubwa kama magomeni kubaki na askari polisi wa kike tena bila silaha. yeyote ajuaye zaidi ya haya kuhusu habari hii ana nafasi ya kumwaga nyuzz hapa, sikuisikia popote gazetini wala redioni. Nawasilisha
 
Hahahahaha watakabwa watu mitaani mpaka baaas! Si mbaya saaana wacha serikali itie akili kuwa powerblackout ina madhara kiasi gani na wazingatie wasijifanye wako busy kuratibu safari za kaka muda woote
 
Mkuu hukupita kwenye li Jeshi?
Askari ni askari hamna askari wa kike wala wa kiume,tena wa kike ndio hatari,of course nazungumzia trained askari sio wale wa kampuni za ulinzi za kulipwa ambao unaweza kuchukuliwa ukawa askari wa reception ili mradi you are beautiful;:tea:

wakuu, kuna taarifa kuwa mnamo tarehe 8 august 2011 majira ya saa mbili mbili usiku katika kituo cha polisi magomeni umeme ulikatika, kuna mahabusu aliletewa chakula, kituoni palikuwa na polisi wa kike tu, wawili, akisha pokea chakula alienda kufungua lango la mahabusu ili amtoe muhusika apate kula, alipomalizia kufungua komeo, mahabusu walivamia lango na kumkumba nalo wp, alianguka chini, chakula kikatawanyika, mahabusu 16 kwa escaping velocity wakatokomea gizani wakimpita wp counter asijue la kufanya, haijaweza kufahamika mara moja askari polisi wanaume walikuwa wapi hadi kituo kikubwa kama magomeni kubaki na askari polisi wa kike tena bila silaha. yeyote ajuaye zaidi ya haya kuhusu habari hii ana nafasi ya kumwaga nyuzz hapa, sikuisikia popote gazetini wala redioni. Nawasilisha
 
Mkuu hukupita kwenye li Jeshi?
Askari ni askari hamna askari wa kike wala wa kiume,tena wa kike ndio hatari,of course nazungumzia trained askari sio wale wa kampuni za ulinzi za kulipwa ambao unaweza kuchukuliwa ukawa askari wa reception ili mradi you are beautiful;:tea:

Taratibu haziruhusu askari wa kike kufanya kazi baada ya saa 12:00 jioni, let alone, kuwa peke yao kituoni usiku.
 
kwani geshi si ni la wakurya tangu zamani!!!
 
Hebu wahusika mtujuze maana hii habari ni tamu.

mkuu, unayakumbuka mashindano ya kamanda kova!!!!! ukimya ndiyo zao la waaandishi wa habari kuwa mfukoni mwa kova, ha ha ha ha, hawawezi kumuumbua, kwani naamini hii ni kashfa inayomuhitaji mtu awajibike, naam ajiuzulu!!!!!!!!
 
Taratibu haziruhusu askari wa kike kufanya kazi baada ya saa 12:00 jioni, let alone, kuwa peke yao kituoni usiku.
nani alikuambia taratibu haziruhusu,si kweli acha kudanganya watu bwana askari yyt yuko kazini 24 hrs!
 
Kama unataka mabishano endelea, kama unataka kujifunza, ukweli ndio huo. Na utaratibu huo (mwisho saa 12 jioni kwa polisi wa kike) una-apply hata kwa makampuni ya ulinzi. Hii ndio standard ya dunia. Hili suala lilizungumziwa na wadau wa makampuni ya ulinzi wakati polisi walikuwa wanafikiria kuandaa sera ya ulinzi binafsi nchini. Sasa japo huu ndio utaratibu, inawezekana hautekelezwi na jeshi la polisi kama mambo mengi yasivyo tekelezwa mfano-how to deal with extra-judicial killings.
 
Back
Top Bottom