Umeme kwangu haujakatika wiki nzima!!!

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,961
2,138
Katika hali ya kushangaza, umeme haujakatika maeneo ya kwetu kuanzia jumatatu hadi leo. Siyo kawaida kwani tumekuwa na kawaida ya mgawo kila baada ya siku mbili. Wakati tunalijadili mitaani kwetu, wakasema, inabidi tuchunguze labda kuna Kigogo au Fisadi limehamia mitaa ya kwetu hivyo ujio wake umendoa mgawo.

Nimewapigia simu Tanesco kuwauliza kulikoni umeme haukatiki mitaa ya kwetu. Wakaniuliza kwa nini wewe unaulizia umeme kutokukatika, nikasema kuwa ninahofu kuwa kwa kunipa mfululizo mnaweza kunikatia tena mfululizo.

Wenzangu hebu nipeni uzoefu wenu wa huu mgao kwa wiki hii.Huu ni muujiza kupata umeme kwa wiki nzima bila kukatika wakati huu wa sakata la Ngeleja, kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!!
 
Sio peke yako wengi tumeshangazwa na kuyayuka kinyemela kwa mgao wa umeme tuliouzoea na kuufanya sehemu ya maisha yetu..Ila hofu yangu mie wataniharibia bajeti yangu matumizi ya umeme yataongezeka.
 
Katika hali ya kushangaza, umeme haujakatika maeneo ya kwetu kuanzia jumatatu hadi leo. Siyo kawaida kwani tumekuwa na kawaida ya mgawo kila baada ya siku mbili. Wakati tunalijadili mitaani kwetu, wakasema, inabidi tuchunguze labda kuna Kigogo au Fisadi limehamia mitaa ya kwetu hivyo ujio wake umendoa mgawo. Nimewapigia simu Tanesco kuwauliza kulikoni umeme haukatiki mitaa ya kwetu. Wakaniuliza kwa nini wewe unaulizia umeme kutokukatika, nikasema kuwa ninahofu kuwa kwa kunipa mfululizo mnaweza kunikatia tena mfululizo.Wenzangu ebu nipeni uzoefu wenu wa huu mgao kwa wiki hii.Huu ni muujiza kupata umeme kwa wiki nzima bila kukatika wakati huu wa sakata la Ngeleja, kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!!

Nadhani umuone Ngeleja haraka iwezekanavyo...
 
Bado kwetu kuna mgao mkali, wanatulaza bila umeme maeneo ya samaki wa bichi ,goig bado tunaipata kwelikweli bora nyie kama munaahueni
 
Nadhani umuone Ngeleja haraka iwezekanavyo...

Itikadi na imani yangu inanikataza kukutana na watu wasio na feelings na maisha ya wanyonge, si huyu Ngeleja alishaapa kuwa tatizo la umeme siyo lake kalikuta na hakulileta yeye. Mimi niko tu natafakari, je kumetokea makosa katika connectiions za umeme (labda nimeunganishwa kwenye line ya kambi ya jeshi, ikulu ndogo au idara nyingine nyeti) au kuna kigogo/fisadi kahamia mitaa ya kwetu kaja na nafuu yake ya umeme na kutubeba sisi walala hoi.
 
sio peke yako wengi tumeshangazwa na kuyayuka kinyemela kwa mgao wa umeme tuliouzoea na kuufanya sehemu ya maisha yetu..ila hofu yangu mie wataniharibia bajeti yangu matumizi ya umeme yataongezeka.
hahahaaa zima kwenye main switch km tnsc walivyokuwa wanakugawia.tena mvizie my wife na watt wasielewe,hahahaaaa
 
Hivi kwako ni sehemu gani hivi??Naomba unijulishe ili usije ukakuletea matatizo yawezekana ukaunguliwa na vitu vyako!
 
Katika hali ya kushangaza, umeme haujakatika maeneo ya kwetu kuanzia jumatatu hadi leo. Siyo kawaida kwani tumekuwa na kawaida ya mgawo kila baada ya siku mbili. Wakati tunalijadili mitaani kwetu, wakasema, inabidi tuchunguze labda kuna Kigogo au Fisadi limehamia mitaa ya kwetu hivyo ujio wake umendoa mgawo.

Nimewapigia simu Tanesco kuwauliza kulikoni umeme haukatiki mitaa ya kwetu. Wakaniuliza kwa nini wewe unaulizia umeme kutokukatika, nikasema kuwa ninahofu kuwa kwa kunipa mfululizo mnaweza kunikatia tena mfululizo.

Wenzangu hebu nipeni uzoefu wenu wa huu mgao kwa wiki hii.Huu ni muujiza kupata umeme kwa wiki nzima bila kukatika wakati huu wa sakata la Ngeleja, kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!!

Yawezekana mkuu wa Tanesco anakimada chake maeneo ya huko.
Ombeni Mungu kisifumaniwe maana mnaweza usotea mwezi mzima huku mkilala kwenye giza totoro.
Anza kujiandaa kunyosha nguo zote
 
Katika hali ya kushangaza, umeme haujakatika maeneo ya kwetu kuanzia jumatatu hadi leo. Siyo kawaida kwani tumekuwa na kawaida ya mgawo kila baada ya siku mbili. Wakati tunalijadili mitaani kwetu, wakasema, inabidi tuchunguze labda kuna Kigogo au Fisadi limehamia mitaa ya kwetu hivyo ujio wake umendoa mgawo.

Nimewapigia simu Tanesco kuwauliza kulikoni umeme haukatiki mitaa ya kwetu. Wakaniuliza kwa nini wewe unaulizia umeme kutokukatika, nikasema kuwa ninahofu kuwa kwa kunipa mfululizo mnaweza kunikatia tena mfululizo.

Wenzangu hebu nipeni uzoefu wenu wa huu mgao kwa wiki hii.Huu ni muujiza kupata umeme kwa wiki nzima bila kukatika wakati huu wa sakata la Ngeleja, kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!!

Mama mdogo, ulitakiwa ufurahie tu hali hiyo badala ya kuwashtua TANESCO sasa sijui kama hawatachukua umeme wao leo kabla siku haijaisha na usiuone tena mpaka saa sita za usiku tena kwa wiki mbili :)
 
sijazoea hili nina siku 2 umeme full wameupata wapi? na je kwa nini pamoja na mgawo uliokuwepo kiasi cha umeme nlokuwa na nunua ni kile kile?
au kuna mkono wa mtu?
 
what? Mie sina umeme toka jumatatu!

Pole sasa kaka, hamia mitaa ya kwetu umeme wa kumwaga tangu jumatatu. We njoo ujitambulishe kwa mwenyekiti wa mtaa halafu uliza wapi kwa mwana JF, utaletwa nami nitakuelekeza kuliko na nafasi (nyumba nzima, chumba/vyumba au banda la uani) kwa kadri ya mfuko wako.
 
Back
Top Bottom