Umeme kukatika usiku huu wa mkesha wa miaka hamsini ya uhuru.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wadau, hapa nilipo sasa ivi ni maeneo ya manzese, na hakuna umeme na ninafanya survey na kugundua kwamba si manzese tuu ambapo hakuna umeme...kuanzia maeneo ya magomeni hadi manzese ni giza. Je miaka hamsini ya uhuru na giza totoro hili tunacha kujivunia kweli.? Au kuendekezana na upumbavu wa hali ya juuu. Tz1961 giza totoro-the slogan.
 
50 yrs
no power
no water
no fuel
no sugar
no democracy

bas tupotupo tu!
 
50 yrs
no power
no water
no fuel
no sugar
no democracy

bas tupotupo tu!

Mbona wewe UWT ndiye uliwaingiza madarakani wakati wananchi hawakuwapa kura??? Leo unalalamikaia nini????? Tulia utafunwe mpaka wajomba zako wote mtakiona!!!!!!!!!! Unacheza na magamba-hukuona yamegomea kiunoni kule Idodomya???????????
 
Mpaka kufikia 2015 tz itakuwa na giza mpaka mchana.Hawa kenge watalifanyia ufisadi mpaka jua.
 
Back
Top Bottom