sasa tujifunze kulipenda giza....................maana hata mbizi hazifui dafu hapo.................lakini furahieni kupanda kwa gharama za maisha kwani hilo ni kaburi ambalo ccm na ufisadi wake limejichimbia lenyewe.....................na huko ndiko litakapojizika lenyewe.........
Tutajutaa kuweka serikari hii
Hapa mimi nashangaa wanaposema bei hizo zinaanza kutumika 15 jan wakati leo nimenunua umeme kwa nmb mobile nimepigwa bei mpya hata kabla haijatangazwa!!leo kwa kiherehere changu baada ya kusoma kwenye magazeti kupanda kwa umeme nimeamua haraka kunyanyua simu yangu na kununua umeme wa laki ili niepuke maumivu ya ghafla,baada ya kununua kama kawaida nimeshangaa napata unit 365 badala ya 504 ambazo uwa napata nikinunua umeme wa kiwango hicho,nimeamua kupiga simu kwa wahudumu nmb mobile wakasema hizo ni bei mpya!!!hii taarifa kuwa unaanza 15 jan inanichanganya na hali halisi,naomba mwenye uhakika anieleze isije kuwa nimepigwa unit 140 hivi!!
Kazi ya prof. Ndulu inazidi kuwa ngumu. Mfumuko wa bei haushikiki. Bei ya umeme kama ilvyo kwa nishati ya mafuta ina athari kwa mfumo mzima wa uchumi. Tunarudi kulekule kwa inflation ya 30 percent.
Wametugawia giza almost mwaka mzima kisha mvua imeanza kunyesha wanapandisha bei ya umeme! Nchi hii inachosha sana!
Ewe EL mteule wa Mungu tuokoe!!!!
Ewe EL mteule wa Mungu tuokoe!!!!
NI bora tuwe na umeme wa uhakika hata kama wa bei juu,kuliko kuukosa kabisa,si lazima tulalamike kwa kila kitu tu,kama vipi tumieni njia mbadala solar,jenereta nk mkishindwa VIBATARI VIPO
Wametugawia giza almost mwaka mzima kisha mvua imeanza kunyesha wanapandisha bei ya umeme! Nchi hii inachosha sana!