Umeme, CCM....kipi ni janga la taifa?

Msema hovyo

Senior Member
Jul 3, 2011
195
86
Kuna usemi unaosema kwamba ukianguka usiangalie ulipoangukia, bali angalia ulipo jikwaa. Kwa hiyo hata kwenye tatizo la umeme tunatakiwa tuangalia kilicho sababisha. Sasa wengi wanasema umeme ni janga la taifa, lakini mimi nasema tuangalie tatizo kwa mapana yake. Inawezekana janga la taifa hapa ni CCM au Kikwete au Tanesco au Ngeleja? Tutafakari.
 
kwa kuwa watu hamchangii basi mimi naanza, CCM ndo janga la taifa. maana CCM ndiyo chanzo cha matatizo yote yanayoikabiili nchi.
 
'Malaria' na 'Kifo' lipi ni janga!? ...kifo kinaletwa na malaria na cha kukizuia hapa ambacho ndio janga kiko wazi
 
oooraita oooraita lazma ccm ndo janga la taifa ndo source
ya sisi kulala giza tororoooooooo haa natamani kuhamia nji nyingine lool
 
Acha uchokzi na Mkwe wangu, mwenyewe nimesha-engagekale kachanga kalikozaliwa juzi kuleeeee....ila na-doubt kuhusu thinking capability ya hii family ila naomba labda kale kachanga kaweza kuwa-genius bana.......otherwise hii familia duh.
'J'-anga la
'K'-itaifa
 
Malaria= CCM
Kif0= Mgao
so solution ni kuzuia Malaria (CCM) isiendelee kutung'ata na kuambukiza ujinga watoto wetu
'Malaria' na 'Kifo' lipi ni janga!? ...kifo kinaletwa na malaria na cha kukizuia hapa ambacho ndio janga kiko wazi
 
Kuna usemi unaosema kwamba ukianguka usiangalie ulipoangukia, bali angalia ulipo jikwaa. Kwa hiyo hata kwenye tatizo la umeme tunatakiwa tuangalia kilicho sababisha. Sasa wengi wanasema umeme ni janga la taifa, lakini mimi nasema tuangalie tatizo kwa mapana yake. Inawezekana janga la taifa hapa ni CCM au Kikwete au Tanesco au Ngeleja? Tutafakari.
kWENYE HILI always............. Source and outcome nyote NI MAJANGA YA TAIFA.
 
Malaria= CCM
Kif0= Mgao
so solution ni kuzuia Malaria (CCM) isiendelee kutung'ata na kuambukiza ujinga watoto wetu
Tatizo ni kuwa kifo kinaweza kikasababisha hata na kuchinjwa............. HIVYO VYOTE NI MAJANGA...............CCM and MGAO WA UMEME
 
tatizo ni jembe na nyundo! Jembe la kutuchimbia kaburi, nyundo inatuua
 
Malaria= CCM
Kif0= Mgao

so solution ni kuzuia Malaria (CCM) isiendelee kutung'ata na kuambukiza ujinga watoto wetu

Mimi natofautiana kidogo,TATIZO SIYO ccm NI wanaoiongoza /viongozi
they are not creative visingizio ndo vilevile kila mwaka
 
sioni hoja hapa. nani asiyejua janga la kitaifa ni ccm? labda atoke sayari nyingine
 
Back
Top Bottom