Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
Hahahha hahaha hahhah,yaani 2+2=samaki,ina mana hizo mbili zikigeukiana zinakaa kama mchoro wa samaki vile
3+3=8 mana yake ukifanya zigeukiane zinaonyesha ni nane
7+7=pembe tatu means zikigeukiana zinaonyesha kama kama pembe 3 ilivyo
8+8=zikigeukiana au kuziunganisha zinaonekana kama kipepeo
4+4=mshale,means zikigeukiana zinaonekana kama mshale
Asante EXELLENT maana nimeziandika pemben hapa na zikatokea,
Your a Great thinker swaiba!