Umelala,ukaota umekufa

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Umelala,ukaota umekufa,uko mbinguni,ila malaika akakwambia unanafasi ya kurudi tena duniani.Ila uchague,urudi kama kuku au kama bata.Ukaöna bora kuku.Ukaambiwa lazima ufanye mazoezi ya kutaga,basi ukasukuma,likatoka yai zurii,ukasukuma tena,likatoka lapili zuri sana.Ukaamka,kucheki,dah, umejisaidia ...!
 
Huu ni ugonjwa wa akili. Ama kwa hakika kama ilivyo vigumu kujisadia kwenye maji ndivyo ilivyo vigumu kujisaidia kitandani
 
Hivi kunamtu aliwa ota kafa............wataalam wanasema haiwezekani ukaota umekufa...........

Ila hii kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom