Umekua ukitafuta kazi, au scholaship bila mafanikio???

tatiana.

Member
Mar 20, 2011
41
15
Kuna watu wamekua wakitafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Wengine wanaomba scholarship miaka nenda rudi hawapati. Watu hao yawezekana wana elimu na uwezo mzuri ila tu kuna mambo yanasababisha washindwe kupata kazi.
Mambo hayo yaweza kua nje ya uwezo wao lakini pia yaweza kua ni kwa kutojua mambo Fulani…kuna masuala ya kujuana, experience na kutokithi vigezo…haya sometimes yapo nje ya uwezo wetu japo tunaweza kuyashinda kwa kua makini
Nina uzoefu na kazi ya interview na kikubwa nilichogundua ni kua watu wenye vigezo hukosa kazi kwa Kutojua
1. kuandika CV…ikumbukwe CV ni interview ya kwanza…kama hujui kuandika , omba msaada kwa mtu mwenye uzoefu…mind you, anaweza kua kapata kazi ila hajui kuandaa CV jaribu kuomba msaada kwa interview professionals au HRS wenye experience na hayo mambo..utakuta mtu kajaza page tatu ila hakuna point…au hazionekani
2. Cover letter, hii inakamilisha interview ya kwanza…hii inasema wakuite au wasikuite… kua makini na unachoandika kwenye cover letter.. epuka kuandika marudio ya sehemu zisizo muhimu toka kwenye CV..fucus on your capabilities strength experience in accordance to the need of the employer. Wengi hushindwa kusuka experience zao ziendane na anachotaka muajiri… be careful
3. Stess kabla na baada ya interview…unajiandaa kiasi gani?? Je ulilalaje?? Unaweza kuitetea CV yako?? Unamfahamu muajiri wako?? Fanya uwezalo kupunguza stress
4. Lack of confidence na jinsi ya kujibu swali…inashangaza na unaweza usiamini lakini kuna wakati anaajiriwa mtu aliyeshindwa kujibu swali na akaachwa aliyejibu..Unashangaa… huo ndo ukweli
5. Have your decoder in mind…ni nani anayekuinterview??? Kijana, mtu wa makamo, mzeee, mwanamke mwanaume….na wewe upo kwenye kundi gani???? Be carefulunajua jinsi ya kuteka akili za interviwer wako???
6. Mavazi…wengi hupenda kuvaa suti za garama sana viatu, urembo na mara nyingine hushindwa kujua avae nini ili kuendana na kampuni…sikatai ila angalia sana …vaa vizuri…smart… ila isiwe too much..hii huleta maswali, wivu, n.k
Yapo mambo mengi ya kuzingatia ila hayo ni baadhi.. naweza kusema, wengi hukosa kazi si kwa kua hana vigezo bali kwa kutokua na elimu ya hayo mambo hapo juu na mengine.
Nina uhakika watanzania tungejua haya mambo…tusingekosa kazi, scholarships, na wala sponsors.
 
Thanks Tatiana,lakini mi nadhani bado unahitajika kuendelea kutoa msaada hapo,umetuachia maswali yenye kuhitaji majibu ya "Yes or No"endelea kutusaidia kwanza wale ambao majibu ya maswali yote hapo uliyouliza ni 'No'....karibu.
 
Tatiana,asante sana,ila fanya UDADAVUZI kwenye skolashipu,maana umeizungumzia sana kazi kuliko suala la 2 la skolashipu ambalo ni muimu!
 
huna lolote mi nilifikili utatueleza hizo skolaship zapatikana wapi badala yake umeleta longolongo kibao. umenibore.
 
sometimes inabidi na nyie mnaotufanyia interview mjiangalie...kama kuna mtu ameshaandaliwa hiyo nafasi hata nikiwa malaika bado nitakosa hiyo chance
 
Kuna watu wamekua wakitafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Wengine wanaomba scholarship miaka nenda rudi hawapati. Watu hao yawezekana wana elimu na uwezo mzuri ila tu kuna mambo yanasababisha washindwe kupata kazi.
Mambo hayo yaweza kua nje ya uwezo wao lakini pia yaweza kua ni kwa kutojua mambo Fulani…kuna masuala ya kujuana, experience na kutokithi vigezo…haya sometimes yapo nje ya uwezo wetu japo tunaweza kuyashinda kwa kua makini
Nina uzoefu na kazi ya interview na kikubwa nilichogundua ni kua watu wenye vigezo hukosa kazi kwa Kutojua
1. kuandika CV…ikumbukwe CV ni interview ya kwanza…kama hujui kuandika , omba msaada kwa mtu mwenye uzoefu…mind you, anaweza kua kapata kazi ila hajui kuandaa CV jaribu kuomba msaada kwa interview professionals au HRS wenye experience na hayo mambo..utakuta mtu kajaza page tatu ila hakuna point…au hazionekani
2. Cover letter, hii inakamilisha interview ya kwanza…hii inasema wakuite au wasikuite… kua makini na unachoandika kwenye cover letter.. epuka kuandika marudio ya sehemu zisizo muhimu toka kwenye CV..fucus on your capabilities strength experience in accordance to the need of the employer. Wengi hushindwa kusuka experience zao ziendane na anachotaka muajiri… be careful
3. Stess kabla na baada ya interview…unajiandaa kiasi gani?? Je ulilalaje?? Unaweza kuitetea CV yako?? Unamfahamu muajiri wako?? Fanya uwezalo kupunguza stress
4. Lack of confidence na jinsi ya kujibu swali…inashangaza na unaweza usiamini lakini kuna wakati anaajiriwa mtu aliyeshindwa kujibu swali na akaachwa aliyejibu..Unashangaa… huo ndo ukweli
5. Have your decoder in mind…ni nani anayekuinterview??? Kijana, mtu wa makamo, mzeee, mwanamke mwanaume….na wewe upo kwenye kundi gani???? Be carefulunajua jinsi ya kuteka akili za interviwer wako???
6. Mavazi…wengi hupenda kuvaa suti za garama sana viatu, urembo na mara nyingine hushindwa kujua avae nini ili kuendana na kampuni…sikatai ila angalia sana …vaa vizuri…smart… ila isiwe too much..hii huleta maswali, wivu, n.k
Yapo mambo mengi ya kuzingatia ila hayo ni baadhi.. naweza kusema, wengi hukosa kazi si kwa kua hana vigezo bali kwa kutokua na elimu ya hayo mambo hapo juu na mengine.
Nina uhakika watanzania tungejua haya mambo…tusingekosa kazi, scholarships, na wala sponsors.

i lav t, gracioús
 
Ni kweli tunamatatizo makubwa saana hasa kwenye kazi za Kimataifa na hata scholarship.
Mtu anaambiwa aandika maneno 3000, anaishia kuandika kaparagraph tu hapo ndio anadhani amemaliza. Anasahau kwamba anashindana na dunia nzima. Pia watu wanaandika kwa lugha mbovu saana kwa excuse ya kuwa kingereza si lugha yetu, wanasahau kwamba CV au ile barua ni first impression. Wengi tunamapungufu katika lugha lakini ni vyema pia kuwapa wenye uwezo wa kuandika wawe wanaediti kazi zetu. Halafu wengine CV zao ni static, yaani awe anaomba kazi serikalini au private, accounting au finance, marketing au sales, manager au coordinator, anasahau kuitengeneza ile CV kuleflect rules za ile kazi. Ni vyema na ni muhim saana kusoma roles/responsibilities za kazi unayoiomba na andika CV ikiendana na utakacho. Lakini pia wakati wa interview huna sababu ya kupanic, unatakiwa uone uamini unakiweza unachokiomba and in some cases uwe mjanja ikiwezekana wewe ndio uwatengenezee maswali kutokana na response yako hasa kwenye maeneo ambayo unawezo mkubwa.
Kwenye zile Interview zinazoinvolve team basi hakikisha unachukua leadership rule otherwise uwe very creative. Mwisho just be positive na kazi yako ya mwisho usiwaonyeshe umechoka kazi ya mwisho au ni mbaya unaonewa, the main reason iwe career development.
 
Yeye mwenyewe mama w nyumbani hiyo interview aliifanyia wapi .....mi nlijua anatupa michongo y kazi kumbe ana2mbia upopompo m2pu.
 
kwanza kabisa poleni kwa kukimbia kwa muda...nilikua bize kidogo sikuweza kupata muda wa kuja jamvini. nashindwa hata nianzie wapi. in short, kwa wale wanaouliza kuhusu scholarship naweza kuwasaidia but information ni nyingi mno.. kikubwa inapaswa nijue elimu yako, unachotaka kusoma, na wapi, and then nitajua unaweza pata scholaship wapi na nini cha kufanya. lingine, kila scholaship utakayoomba inahitaji essay au thesis, watanzania tunakosa kwa sababu hatujui nini cha kuandika humo..then unavailability or incompetence of refarees unaowachagua, na barua walizokuandikia pia zina nafasi yake.

kwa maelezo au swali niibox coz sometimes nashindwa kufuatilia threat/ coments coz of ubize.
]kuhusu kazi, majibu yanaweza kuwa no...je umechukua hatua gani.???omba msaada pale unapokwama..jifanye mjinga mara moja ufaidike milele.
kwa maelezo zaidi niinbox and will help you whenever possible.

uliyesema mama wa nyumbani...nayo pia ni heshima..ila usimdharau usiyemjua..anyway, nashukuru.
 
Ni kweli tunamatatizo makubwa saana hasa kwenye kazi za Kimataifa na hata scholarship.
Mtu anaambiwa aandika maneno 3000, anaishia kuandika kaparagraph tu hapo ndio anadhani amemaliza. Anasahau kwamba anashindana na dunia nzima. Pia watu wanaandika kwa lugha mbovu saana kwa excuse ya kuwa kingereza si lugha yetu, wanasahau kwamba CV au ile barua ni first impression. Wengi tunamapungufu katika lugha lakini ni vyema pia kuwapa wenye uwezo wa kuandika wawe wanaediti kazi zetu. Halafu wengine CV zao ni static, yaani awe anaomba kazi serikalini au private, accounting au finance, marketing au sales, manager au coordinator, anasahau kuitengeneza ile CV kuleflect rules za ile kazi. Ni vyema na ni muhim saana kusoma roles/responsibilities za kazi unayoiomba na andika CV ikiendana na utakacho. Lakini pia wakati wa interview huna sababu ya kupanic, unatakiwa uone uamini unakiweza unachokiomba and in some cases uwe mjanja ikiwezekana wewe ndio uwatengenezee maswali kutokana na response yako hasa kwenye maeneo ambayo unawezo mkubwa.
Kwenye zile Interview zinazoinvolve team basi hakikisha unachukua leadership rule otherwise uwe very creative. Mwisho just be positive na kazi yako ya mwisho usiwaonyeshe umechoka kazi ya mwisho au ni mbaya unaonewa, the main reason iwe career development.

thanx for the add...
 
Back
Top Bottom